Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Israhell iliunwa mwaka 1948 acha kudanganya watuIsraeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Kilaza ni mtu anaeamini mambo bila fact. Hivyo wewe ndio mwenye sifa hiyo ya kilaza kwa sababu kila unaloongea umeshindwa kuliwekea fact. Yani kwa vile wewe unafanywa kilaza na wafia dini wenzako basi ndo unafikiri kila mtu atakuwa hivyo hivyo kama wewe. Dunia ya sasa watu wenye akili zetu hatuaminishwi mambo kupitia story za vitabu, weka fact ya kuonesha kuwa wapalestina walikataa kuundwa mataifa mawili ili tubalance ukweli uko wapi.We kumbe naongea na kilaza. Nil
Kumbe naongea na kilaza nilifikir naongea na mtu mwenye hoja kumbe wale wale.
Hapo ndo ujinga wa waafrika unaposimamia. Mtu anamuona Nyerere na wengine wa aina hiyo wanaweza kukosea. Lakini wazungu na waarab walioleta biblia na misahafu ambayo iliandikwa wewe ukiwa haupo unawaamini. Huu ni ukilaza uliopitiliza.Ushasoma historia kabla wayahud kuanzisha hilo taifa lao waingereza by then wakiwa wanalitawala hilo eneo kama wadhamini baada ya ottomani mpaya kuanguka hujui walipeleka hiyo kesi UN ili liamuliwe huko. Na UN wakaja na jins ya kuligawa waarabu wakalikataa pendekezo. Ndio vita ikaanza rasmi. Unajua wewe ni wale vilaza wanaoamini akiongea Nyerere au mandela au Kikwete ameongea Mungu. Bro Nyerere mwenyewe alikuwa na makosa mengi tu.
btw acha tu niishie hapa, maana napoteza muda wangu kujadiliana na mtu ambae hajui anachojadili. Hii ni sawa na kupoteza muda wangu bure.Ni kama alivyosema Pope juz mashoga wabarikiwe kwa akili yako kwa nafas yake kaongea jambo la maana. Mi siongoz na baba au mama. Mi ni binadamu kamili mtu mzima ninauwezo wa kuona Jambo na nikalitafsr ni libaya au lizur. So huongei na mateka wa fikra. Hamas wamesema hawaitambui Israel na watawafuta na hicho wanachopata ni style yao. Period. Mambo ya cjui wakristo waislam cjui vitabu vya Dini hizo ni ngonjera zako. Hata hao Iran wanapigana kwa maslah ya din nothing more.
Fatilia mambo kijana acha kukurupukaWe bhana mbona unaleta hadithi za uongo, Syria kasaidiwa na Mrusi,
Andika ukweli wa papa [emoji3]Uongo wa madrasa huu,umeandika vingi lakini vyote ni uongo mtupu.
Ngoja na mm niandike kabiblia kangu nijipe umiliki wa AmericantKuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia [emoji848]
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel. [emoji1134]
Wanakurupuka sanaaaaaaaaKijana anatumia kuda mwingi kuwafuatilia kina mwijaku. Haya mambo tunayojadili hapa, yapo mbali na uwezo wake wa kufikiri. Ndomaana kakurupuka tu kama kuku aliekatwa kichwa.
Kwahiyo miaka yote wao ni watu wa kusaidiwa tu?? Sasa huo U-genius wao unawasaidia nini?Tatizo lako hauongei kwa kufikiri unaongozwa na chuki za Madrasa tu. Kama umewah kufika Israel utagundua vitu ni tofauti na story mnazolishwa huko Madrasa chief. Israel inao Ethiopia Jews wa kutosha tena mpaka jeshin. Wapo Arabs Jews mpaka jeshin wapo Iranian Jews mpaka jeshin wapo Jews wa kihind Moroccan uzungun na hata Yemenis. Wapo mpaka majews wa kiafghanistan. Hao Jews unaoona walioletwa hapo kutoka uzungun ndio wale waliokuwa wanauawa huko walikotoka kwasababu ya nasaba zao na jealous za mafanikio yao. So Jews wa maeneo mengine hawakuwah kuuwawa zama za karibun ndio maana hawakuwa na haja kurud kwao. Hiyo kuuwawa ni kawaida Mzee haimaanisha sio binadamu wanauwawa na wenyew wanaua. Wametawaliwa na kuwa free kwa vipind tofauti. Na sasa wanatawala itakuja kipind nao watatawaliwa. Ni kawaida sana. Kabla hujazungumzia misaada wanayopata zungumzia huko misaada inakotoka ni akina nani wanasimamia hizo taasisi za misaada. Wenzio wamewekeza kwenye maeneo nyeti nchi za kiume.
Acha ujinga wewe miaka 3000 unaijua wewe? Na Tanzania miaka 3000 iliyopita lilikua eneo la nani?Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Tena ni ujinga uliopitiliza mtu anakwambia eti walikaa hapa miaka 3000 iliyopita .[emoji1787]Mipaka ya nchi haipatikani kwenye torati na hadisi zingine zisizokuwa na kichwa wala miguu. Mipaka ya nchi inapatikana kwa njia ya raia halali waliopo katika nchi husika.
Kuchukua kundi la wazungu Ulaya na kwenda kuwapachika katika nchi ya watu kwa kisingizio cha kuandikwa katika kitabu fulan ni ujinga mtupu ambao watu wenye uelewa wana upinga.
Kwani wewe unaposema waafrika unamaanisha nini? Maana mpaka sasa misri ni nchi ya Afrika sasa sijakuelewa.Acha makasiriko ya madrasa sheikh. Naomba nikuize swali. Hiv unajua misri na nchi zote zao northern Africa zilikuwa ni za waafrica waarabu wakawaua wakachukua nchi zao. Unajua mafarao walikuwa ni Africa? Turud kwenye mada. Neno biblia lina maana ya vitabu sio kitabu. Ukichukua Jews holy book inaelezea nchi yao na mipaka yao. Hata hicho kitabu cha mudy kinajua na kutambua Jews walikuwepo na nchi yao. Nachokusaidia ni kuwa kama Jews walikuwepo hata wakat wa ottoman impaya basi. Hapo ndio kwao shida iko wapi. Wapo kwao na wamejitengenezea nchi. Hiv wale wazungu wa South Africa ni wenyeji au wagen au Australia au America
KabisaaaYa na mwisho wake wanaumbuka sana
Wengi akili zao hazina akili [emoji3][emoji23][emoji3] twende nao taratibuKama jamaa mmoja hapo juu yeye kila kitu anaingiza dini. Sijui nani kamloga huyu.