Wajaluo wa Musoma ambao kiasili ni watu wa Sudani,wanaweza kuondoka hapa tz wakaenda kudai viwanja vya babu zao sudani ati kwakuwa imeandikwa mahala fulani?Hizi stori zenu mnazodanganyana redio imani ni shida sana Israel inachopigania ni mipaka yake ilichorwa kwenye torati yao mahali walipoishi mababu zao kama Jerusalem, Judea and Samaria hana mpango na ardhi za waarabu ukimuona anashika ardhi za waarabu ni kuajili ya kujilinda TU kama Golan height na Gaza nafikiri ili Hamas wazimrushie rushie maroketi
Akikujibu unitagWajaluo wa Musoma ambao kiasili ni watu wa Sudani,wanaweza kuondoka hapa tz wakaenda kudai viwanja vya babu zao sudani ati kwakuwa imeandikwa mahala fulani?
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
IsraelTatizo lako hauongei kwa kufikiri unaongozwa na chuki za Madrasa tu. Kama umewah kufika Israel utagundua vitu ni tofauti na story mnazolishwa huko Madrasa chief. Israel inao Ethiopia Jews wa kutosha tena mpaka jeshin. Wapo Arabs Jews mpaka jeshin wapo Iranian Jews mpaka jeshin wapo Jews wa kihind Moroccan uzungun na hata Yemenis. Wapo mpaka majews wa kiafghanistan. Hao Jews unaoona walioletwa hapo kutoka uzungun ndio wale waliokuwa wanauawa huko walikotoka kwasababu ya nasaba zao na jealous za mafanikio yao. So Jews wa maeneo mengine hawakuwah kuuwawa zama za karibun ndio maana hawakuwa na haja kurud kwao. Hiyo kuuwawa ni kawaida Mzee haimaanisha sio binadamu wanauwawa na wenyew wanaua. Wametawaliwa na kuwa free kwa vipind tofauti. Na sasa wanatawala itakuja kipind nao watatawaliwa. Ni kawaida sana. Kabla hujazungumzia misaada wanayopata zungumzia huko misaada inakotoka ni akina nani wanasimamia hizo taasisi za misaada. Wenzio wamewekeza kwenye maeneo nyeti nchi za kiume.
Hawezi kukujibu. Yani hao jamaa kila mtu anawashangaa. Bado wana akili na mawazo yale yale waliofundishwa kipindi cha kikoloni. Hawajui kwamba zama zinanadilika na mambo pia yanabadilika ππWajaluo wa Musoma ambao kiasili ni watu wa Sudani,wanaweza kuondoka hapa tz wakaenda kudai viwanja vya babu zao sudani ati kwakuwa imeandikwa mahala fulani?
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Myahudi wa kipogoro huyo haelewi chochote kilichoandikwa, lakini pia hata angeelewa bado angeshindwa kuja kujibu hoja πππIsrael
Ethiopian women in Israel βgiven contraceptive without consentβ
Israel's health ministry is investigating claims that Ethiopian immigrants have unwittingly had Depo-Provera jabs for years
years old
Israel's health ministry is investigating claims that Ethiopian women are being injected with a controversial contraceptive without their knowledge or consent.
Thousands of Ethiopian women are said to be receiving shots of Depo-Provera every three months in Israeli clinics. The contraceptive stops menstruation and has been linked to fertility problems and osteoporosis.
Yaakov Litzman, Israel's deputy minister of health, who has previously denied the practice, will lead the inquiry, a spokesperson announced on Wednesday.
The phenomenon was uncovered when social workers noticed the birth rate among Ethiopian immigrants halving in a decade. An Israeli documentary investigating the scandal was aired in December and prompted a popular outcry.
It revealed that women were started on a course of contraceptive jabs while still in transit camps in Ethiopia, some without being told they were being given birth control and many having no idea of the side-effects. When they eventually arrived in Israel, doctors continued the treatment unquestioningly. But the critical question remains unanswered as to who instigated the policy, with neither Israel nor Ethiopia willing to claim responsibility.
Sava Reuben, an Ethiopian who has lived in Israel since 1984, interviewed more than 35 women from her community for the film and found that 25 were still receiving contraceptive shots from healthcare providers.
Reuben spoke to one woman who believed she had been given a flu vaccination and had no idea she had been injected with Depo-Provera.
Another was pregnant with her fifth child when she arrived in the transit camp, where she would live for seven years. The woman in her thirties told Reuben that officials had gathered together all the new mothers in the camp and told them they would be given Depo-Provera as it would be too difficult for them to give birth Israel.
"No, we didn't want to take it, we refused. We said we didn't want it," the unnamed woman recalls in the film. She agreed to the injections only because she was told her immigration to Israel would be blocked and she would receive no further healthcare in the camps if she refused.
"This happened to many, many other women," Reuben said.
More than 50,000 Ethiopian Jews have immigrated to Israel in the past decade. The fast-growing community has struggled against bias. In 1996, thousands rioted when it was discovered that the Israeli health ministry had destroyed all stocks of blood donated by Ethiopians on the grounds that it might be contaminated with HIV.
Israel's health ministry has strongly denied allegations that the injections are part of a policy to control the growth of the Ethiopian community.
"The Israel ministry of health neither advises nor encourages the use of Depo-Provera injections and if they are being administered this is in despite of our view," a spokesperson said.
And yet Reuben claims to have discovered a letter from the health ministry to a clinic in Ethiopia in 2000 thanking doctors there for the large numbers of women they had treated with Depo-Provera.
"Why are only Ethiopian women being given Depo-Provera in Israel? It's supposed to be a last-resort contraceptive. Israeli health authorities claim the injections are a cultural preference but in our culture, to have lots of children is to be rich," Reuben said.
"It is my opinion that this is a deliberate policy on the part of Israel. They are taking advantage of women who are weak because they are new to the country, do not understand the language and who traditionally respect authority. It makes me more than angry."
Dr Mushira Aboodia, a gynaecologist working at Jerusalem's Hadassah medical centre, said the majority of Ethiopian women she had met received Depo-Provera injections.
"This is a policy that no one will admit. No one in Israel will take responsibility for the treatment in the camps but someone must have instigated it and it would not be in Ethiopia's interests to treat women preparing to leave the country," Aboodia said.
"Something is definitely wrong here. I'm very glad the ministry of health will be investigating the issue. They will need to do a thorough job."
To[emoji2398] 2024 Guardian Newspaper
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Ndio nimeamka sorry kwa kuchelewa kukujibu. Iko hiv for reasons kuna vitu vinafanyika kwasababu maalumu kwenye nchi au maeneo tofauti. Nitakupa mfano. Kule kwetu Kilimanjaro kwa mfano miaka ya nyuma ya Nyerere watoto walikuwa hawafaulu mitihan ila walikuwa wanachaguliwa. Yaan mnakuta mmefaulu 30 wanachaguliwa hapo 2 tu. Hiyo nafasi nyingine anapewa watoto mikoa mingine kwa maelezo tuliyopewa na wazee so wazee wengi walikuwa wananunua majina ya watu hasa mikoa mingine ili tu kuwasidia watoto wao kusoma. So serikali ya TZ imefanya huo mchezo live miaka kipind hicho kwa kigezo kwamba hawa wameshasoma wengine nao wasome. Ni kama Mh. magufuli alivyosema wachagga hatupeliki kitu subiri na wenzenu wapate. Na wala hakuna anaelaumu unajua kwasababu gani. Watu washajua ishu hapa ni kujitafuta ukiwa na hela ndio nguvu yako. Ukienda hapo kenya mjaluo ni ndoto kupewa nchi na Nigeria kwa mfano ni ndoto waigbo kupewa nchi. Fuatilia kwanini hajawah kutokea mkuu wa jeshi mchagga au mchagga akitaka urais propaganda zinakuwa nyingi. Serikali inakuwa na sababu zao. Na hizo Mambo zipo dunia nzima Obama mpaka anakuwa rais haikuwa simpo. Ukienda Israel kwenyewe kuna raia waarabu wapalestina. Na kwa utaratibu kila raia wa Israel anatakiwa aingie jeshin na ukishakuwa mjeshi unatakiwa kumiliki silaha. Lakin hawa jamaa wakipewa silaha wote kiusalama pia ni shida pia so wanapewa wachache wengi wanabaniwa. . So kuna kaugumu kwao kupewa silaha pia. So mi sishangai hawa Jews falasha kupunguzwa uzazi labda ongezeko lao kwa mwaka na ardhi ya nchi ni ndogo nk huwez kujua. Ni kama mchina alivyozuia watu wa mjin kuwa na watoto wengi akaruhusu wa kijijin kuwa na wawili by then. Ni sababu za kiusalama zaid sometimes. Shida yetu ni kukariri kosa analofanya mzungu akifanya mwafrica haliwi kosa ni kawaida. Tumekuwa na hofu ya kizungu sana badala ya kujijengea mfumo wa kushindana ulimwengun tumebaki watu wa kuonyesha madhaifu kwa kulalamika tu. Cku zote ukiona mtu hasa mwanaume analalamika jua ni mdhaifu sana. Hii ni dunia ya ushindan nenda front kama unataka kujulikana na kusikikaIsrael
Ethiopian women in Israel βgiven contraceptive without consentβ
Israel's health ministry is investigating claims that Ethiopian immigrants have unwittingly had Depo-Provera jabs for years
years old
Israel's health ministry is investigating claims that Ethiopian women are being injected with a controversial contraceptive without their knowledge or consent.
Thousands of Ethiopian women are said to be receiving shots of Depo-Provera every three months in Israeli clinics. The contraceptive stops menstruation and has been linked to fertility problems and osteoporosis.
Yaakov Litzman, Israel's deputy minister of health, who has previously denied the practice, will lead the inquiry, a spokesperson announced on Wednesday.
The phenomenon was uncovered when social workers noticed the birth rate among Ethiopian immigrants halving in a decade. An Israeli documentary investigating the scandal was aired in December and prompted a popular outcry.
It revealed that women were started on a course of contraceptive jabs while still in transit camps in Ethiopia, some without being told they were being given birth control and many having no idea of the side-effects. When they eventually arrived in Israel, doctors continued the treatment unquestioningly. But the critical question remains unanswered as to who instigated the policy, with neither Israel nor Ethiopia willing to claim responsibility.
Sava Reuben, an Ethiopian who has lived in Israel since 1984, interviewed more than 35 women from her community for the film and found that 25 were still receiving contraceptive shots from healthcare providers.
Reuben spoke to one woman who believed she had been given a flu vaccination and had no idea she had been injected with Depo-Provera.
Another was pregnant with her fifth child when she arrived in the transit camp, where she would live for seven years. The woman in her thirties told Reuben that officials had gathered together all the new mothers in the camp and told them they would be given Depo-Provera as it would be too difficult for them to give birth Israel.
"No, we didn't want to take it, we refused. We said we didn't want it," the unnamed woman recalls in the film. She agreed to the injections only because she was told her immigration to Israel would be blocked and she would receive no further healthcare in the camps if she refused.
"This happened to many, many other women," Reuben said.
More than 50,000 Ethiopian Jews have immigrated to Israel in the past decade. The fast-growing community has struggled against bias. In 1996, thousands rioted when it was discovered that the Israeli health ministry had destroyed all stocks of blood donated by Ethiopians on the grounds that it might be contaminated with HIV.
Israel's health ministry has strongly denied allegations that the injections are part of a policy to control the growth of the Ethiopian community.
"The Israel ministry of health neither advises nor encourages the use of Depo-Provera injections and if they are being administered this is in despite of our view," a spokesperson said.
And yet Reuben claims to have discovered a letter from the health ministry to a clinic in Ethiopia in 2000 thanking doctors there for the large numbers of women they had treated with Depo-Provera.
"Why are only Ethiopian women being given Depo-Provera in Israel? It's supposed to be a last-resort contraceptive. Israeli health authorities claim the injections are a cultural preference but in our culture, to have lots of children is to be rich," Reuben said.
"It is my opinion that this is a deliberate policy on the part of Israel. They are taking advantage of women who are weak because they are new to the country, do not understand the language and who traditionally respect authority. It makes me more than angry."
Dr Mushira Aboodia, a gynaecologist working at Jerusalem's Hadassah medical centre, said the majority of Ethiopian women she had met received Depo-Provera injections.
"This is a policy that no one will admit. No one in Israel will take responsibility for the treatment in the camps but someone must have instigated it and it would not be in Ethiopia's interests to treat women preparing to leave the country," Aboodia said.
"Something is definitely wrong here. I'm very glad the ministry of health will be investigating the issue. They will need to do a thorough job."
To[emoji2398] 2024 Guardian Newspaper
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Hao waarabu wote wavamiz hizo nchi kihistoria zilikuwa ni black pure. Hata farao alikuwa black.Kwani wewe unaposema waafrika unamaanisha nini? Maana mpaka sasa misri ni nchi ya Afrika sasa sijakuelewa.
Mzee hii dunia watu Wana namna nyingi ya kuishi. Kwa mfano Israel inawachukua majasusi vijana kuanzia miaka 15 wanakaa na wewe mpaka miaka 23 unawaachia ile akili cream ya kwanza baada ya hapo unatafutiwa kazi huko makampuni ya kiume huko dunian so unakuta unailisha nchi kutoka nje. Hawa jamaa wana uraia wa nchi zaid ya mbili ndio maana wameweza kupachika watu wao kila mahali so hiyo ni akili unatumia nguvu ndogo kupata msaada inapohtajika kutoka nje. Siwasifu mi nachojaribu kusema Africa ni watu ambao hatutaki kuukubali ukweli na kujifunza. Far east wamefanikiwa. Wachina au Japan walipogundua wazungu mfumo wao una Mazur yake na mabaya yake walikaa chini wakiwa na mfumo wao wakatuma majasusi kusoma huko na wakarud na Mazur na wamepata mabadiliko. Sis Nyerere aaliwatuma kwenda kusoma wakarud walevi na wavaa suti wakawa maboss matokeo ni kuwalaumu wazungu tu.Kwahiyo miaka yote wao ni watu wa kusaidiwa tu?? Sasa huo U-genius wao unawasaidia nini?
We unaamini mtu akae kwenye mapango Afghanistan aweze kumshambulia mmarekani?Kumbe Al Qaeda ni Kundi la Mmarekani? I never knew this forsure. Osama bin Laden alipandikizwa na Marekani???
Nani kakudamganya Wayahudi hawaamini biblia!? Wayahudi hawaamini agano jipya (Injili ya Yesu Kristo) na si biblia nzima, jifunze kabla ya kuandika.Ww nchi yako unayo ishi sasa hivi mipaka yake iliwekwa na biblia?
Watu wanaongea mambo ya maana ww unatuletea hadithi za biblia hapa kwani kila mtu ana amini hiyo biblia?
Wayahudi wenyewe hawaiamini.
Dunia inaongozwa kwa sheria za kimataifa na sio haiongozwi na hadithi zenu za biblia.
Kama Quran au?Hivi nyinyi waafrica mbona mnakuwa wapumbavu na watumwa kifikra kiasi hiki!!
Hiyo biblia una ushahidi gani kama yaliyoandikwa humo ni ya kweli ? Yaan Leo mtu aje Tanzania aseme ni ardhi yao kutokana na kitabu cha kutunga alichokibuni na sisi tunaamini kweli?
Hiyo biblia ni kitabu kama kitabu cha kina abunuwasi na vingenevyo vya aina hiyo
Kwamba Quran inayotambua uwepo wa Yesu nayo ilibuniwa!?Bado uliyoandika yanaonesha upeo mdogo wa kufikiri kichwani kwako. Yani upeo mdogo wa kuamini kuwa kila anaepingana na Israel ni muislam. Upeo wako mdogo unashindwa kufahamu kuwa serikali ya Afrika Kusini iliyoifungulia Israel kesi ya mauaji ya kimbali inaongozwa na wakristo 99%.
Upeo wako mdogo umekufanya ushindwe kujua kwamba kuna watu kama kina hayati Desmond Tutu walikuwa wanaijua bibla zaidi ya vile uijuavyo wewe myahudi wa kimatumbi, lakini kwa sababu ya haki na uhalisia wa kile kinachoendelea Palestina aliamua kusimama upande wa wapalestina na kuweka mihemko yake ya kidini pembeni. Hata huko Marekani kuna maseneta wazungu tena wakristo ambao hawapendezewi na kile kinachoendelea na Israel huko Palestina. Sasa hayo mambo ya dini katika swala nyeti kama hili yanatoka wapi wakati Palestina kwenyewe kuna waarab na wayahudi wakristo, halikadhalika Israel kuna waarab pia ambao ni wasrael na pia waislamu. Hivyo kuingiza dini hapa ni kukosa hoja ya msingi.
Kuna mambo ukitanguliza mihemko ya dini mbele basi hauwezi kuona ukatili, mateso na mauaji wanayopitia wale wasiokuwa wa dini yako. Hivyo sio kila anae support Israel ni mkristo au anaepingana nayo ni muislamu, huu unakua ni ujinga na upeo mdogo wa kufikiri.
Tukija katika swala sijui hilo la waarab kuwauwa watu weusi sijui liliingiaje, maana kama kuuwa watawala wote waliuwa wakiwemo wazungu.
1. Chief Mkwawa aliuwawa na nani?
2. Kinjekitile aliuwawa na nani?
3. Milambo aliuwawa na nani?
4. Wadai uhuru katika nchi zote za kusini mwa Afrika waliuwawa na kina nani?
5. Red Indians huko Amerika waliuwawa na nani?
Australia ilikuwa na wazawa kabla ya waingereza kuvamia nchi yao, unajua walichofanyiwa?
Tukija kwenye vitabu vya dini ulivyosema, naona unarudi kule kule nilipokwambia hapo juu. Kwamba mipaka ya nchi haipatikani kupitia hadithi za biblia wala msahafu. Hiyo misahafu na biblia imeandikwa na watu tu kama wewe. Na sio kila mtu ana amini katika biblia au msahafu, hivyo kuleta habari za msahafu kwa watu wasiamini msahafu ni kupoteza muda bure, hivyo hivyo kuleta habari za biblia kwa watu wasiamini biblia ni kupoteza muda bure.
Umoja wa Mataifa ambao hauendeshi sheria zake kupitia mihemko ya kidini, wameshaweka wazi kuwa hao jamaa ni wavamizi. Sasa wewe mfia dini ni nani mpaka uje na habari zako za vitabu?
Kiuhalisia vitabu vyote vya dini vimejaa sintofahamu ambayo mtu mwenye akili hawezi kuingia kichwa kichwa kuamini kila kilichoandikwa katika vitabu hivyo.
Vitabu vinasema eti Yesu alikuwa myahudi, lakini wayahudi wenyewe wanakataa kuwa katika kabila lao au nchi yao hajawahi kuzaliwa au kutokea mtu anaeitwa Yesu. Yani mtu aje awambie majirani zako kwamba Mo Dewji ni mjomba wako na anaishi kwako, wakati wewe mwenyewe huyo Mo Dawji familia yenu nzima hamumjui, haishi nae nae wala haujawahi kumuona. Sasa kiuhalisia kati yako wewe mwenye familia husika ambae unakataa kuwa Mo Dewji sio ndugu yenu na huyo mtu anaesimulia nani atakaetakiwa kuaminiwa?
Wazungu wenye mission zao wanalazimisha kuwa Yesu alikuwepo na aliishi Israel, waisral wenyewe wanakataa kuwa huyo Yesu hakuwahi kuwepo katika nchi yao. Sasa wewe mmatumbi uliemezeshwa matango pori, leo unataka kujifanya unajua zaidi ya wayahudi wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila chakushangaza Quran yako tukufu ikakitambua hicho kitabu cha wahuni!!! Bilashaka na hiyo quran ni walewale tu!Ngoja na mm niandike kabiblia kangu nijipe umiliki wa Americant
Biblia ni kitabu cha uongo kilicho tungwa na wapigaji fulani fulani
Kama wewe ni mzaliwa wa miaka ya 70s au 80s, na ni mfuatiliaji wa siasa za dunia bila shaka unakumbuka Mmarekani alipoingia Iraq.Kumbe Al Qaeda ni Kundi la Mmarekani? I never knew this forsure. Osama bin Laden alipandikizwa na Marekani???
Usalama wako ndiyo inahalalisha kuchukua eneo la mtu?Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Asipokuelewa kwa ufafanuzi huu hataelewa tena.Umelishwa matango pori na makande ya kunde miaka mingi, hivyo ni ngumu sana shibe ya makande ya kunde na matango pori kukutoka sasa hivi. Hao Jews uliokuwa una hadithiwa ni uongo mtupu wa propaganda uliopangwa na wazungu kwa lengo la kuwatia hofu watu, haswa wa mashariki ya kati wawaone kuwa hao jews ni watu hatari, wenye akili na uwezo wa kupindukia, kumbe kiuhalisia ni wachumba tu na akili kisoda, ndio maana miaka yote toka enzi za kina Musa hadi leo wamekuwa watu wa kutawaliwa tu na nchi zingine.
Walitawaliwa na kuburuzwa mpaka na wamisri enzi za firauni, wameburuzwa na kutawaliwa enzi za uajemi, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Roma, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Ottoman.
Kifupi waisrael original ni wanyonge, akili kisoda toka miaka zaidi ya 3000 iliyopita. Hawa wazungu unawaona sasa pale Israel kama ukienda kuwapima DNA zao unaweza ukashangaa 90% zinasoma ni waingereza, ujerumani, ufaransa nk. Wamepandikizwa pale kwa mpango maalumu ambao wengi hawaujui. Ila wenye akili wenzao (waajemi) mpango huo waliujua na kutengeneza mazingira ya kuudhibiti mapema kabla haujafanikiwa kuchukua hata nchi moja.
Tena walivyokuwa washenzi walivyogundua kwamba kuna wayahudi wa Ethiopia ambao walitaka kuleta ushahidi wa kuonesha kwamba wao ndio waisrael wenyewe jamaa wakaanza kuwafanyia vigisu, kuwauwa, kuwafunga na wengine kuwafukuza hadi Kagame akawapa hifadhi. Lengo ni kutaka kuwalazimisha watu waamini kwamba wayahudi ni watu weupe ili hata wazungu kama CIA wakijichanganya nao wasijulikane, ionekane kuwa ni wale wale wayahudi kumbe nyuma ya pazia ni wazungu walioko katika mission zao maalum ya kuwinda namna ya kupata chaka la kulimiliki miaka yote ili wasiwe wananunua tena mafuta.
Mbona kabla ya waingereza kuwaleta hao jamaa hapo mashariki ya kati mwaka 1948, kulikuwa na wayahudi wengine waliokuwa hapo mashariki ya kati toka kipindi cha utawala wa Ottoman, mbona hawakuwa na akili au uwezo wowote wa kijeshi kama ilivyo sasa. Unajua ni kwanini?
Jibu ni kwamba hawa wa sasa ni tofauti na wale wa enzi zile za Roma, Ottoman nk. Hawa wa sasa ni wazungu na wanadhaminiwa na wazungu wenzao kwa ajili ya kupigania na kulinda masilahi yao hapo mashariki ya kati. Hayo mengine unayoongea ni story tu ambayo haina kichwa wala miguu. Nchi iwe na vichwa vya namna hiyo katika kila taifa alafu kwao bado wategee msaada hata wa fedha na kijeshi kutoka katika nchi zingine, ushaona wapi jambo hilo!!
Pale Israel wale ni mapandikizi ya wazungu kutoka Ulaya wakiwemo Waingereza. Wamarekani, Wajerumani nakadhalika.Umelishwa matango pori na makande ya kunde miaka mingi, hivyo ni ngumu sana shibe ya makande ya kunde na matango pori kukutoka sasa hivi. Hao Jews uliokuwa una hadithiwa ni uongo mtupu wa propaganda uliopangwa na wazungu kwa lengo la kuwatia hofu watu, haswa wa mashariki ya kati wawaone kuwa hao jews ni watu hatari, wenye akili na uwezo wa kupindukia, kumbe kiuhalisia ni wachumba tu na akili kisoda, ndio maana miaka yote toka enzi za kina Musa hadi leo wamekuwa watu wa kutawaliwa tu na nchi zingine.
Walitawaliwa na kuburuzwa mpaka na wamisri enzi za firauni, wameburuzwa na kutawaliwa enzi za uajemi, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Roma, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Ottoman.
Kifupi waisrael original ni wanyonge, akili kisoda toka miaka zaidi ya 3000 iliyopita. Hawa wazungu unawaona sasa pale Israel kama ukienda kuwapima DNA zao unaweza ukashangaa 90% zinasoma ni waingereza, ujerumani, ufaransa nk. Wamepandikizwa pale kwa mpango maalumu ambao wengi hawaujui. Ila wenye akili wenzao (waajemi) mpango huo waliujua na kutengeneza mazingira ya kuudhibiti mapema kabla haujafanikiwa kuchukua hata nchi moja.
Tena walivyokuwa washenzi walivyogundua kwamba kuna wayahudi wa Ethiopia ambao walitaka kuleta ushahidi wa kuonesha kwamba wao ndio waisrael wenyewe jamaa wakaanza kuwafanyia vigisu, kuwauwa, kuwafunga na wengine kuwafukuza hadi Kagame akawapa hifadhi. Lengo ni kutaka kuwalazimisha watu waamini kwamba wayahudi ni watu weupe ili hata wazungu kama CIA wakijichanganya nao wasijulikane, ionekane kuwa ni wale wale wayahudi kumbe nyuma ya pazia ni wazungu walioko katika mission zao maalum ya kuwinda namna ya kupata chaka la kulimiliki miaka yote ili wasiwe wananunua tena mafuta.
Mbona kabla ya waingereza kuwaleta hao jamaa hapo mashariki ya kati mwaka 1948, kulikuwa na wayahudi wengine waliokuwa hapo mashariki ya kati toka kipindi cha utawala wa Ottoman, mbona hawakuwa na akili au uwezo wowote wa kijeshi kama ilivyo sasa. Unajua ni kwanini?
Jibu ni kwamba hawa wa sasa ni tofauti na wale wa enzi zile za Roma, Ottoman nk. Hawa wa sasa ni wazungu na wanadhaminiwa na wazungu wenzao kwa ajili ya kupigania na kulinda masilahi yao hapo mashariki ya kati. Hayo mengine unayoongea ni story tu ambayo haina kichwa wala miguu. Nchi iwe na vichwa vya namna hiyo katika kila taifa alafu kwao bado wategee msaada hata wa fedha na kijeshi kutoka katika nchi zingine, ushaona wapi jambo hilo!!
Hiyo biblia ni kitabu cha wazungu kwa malengo ya kukutawala mbumbumbu kama wewe.Kuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia [emoji848]
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel. [emoji1134]