kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Lengo lako ni huyo mchezaji wa chini au hao wawili?Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Kwahiyo kina Aucho na Bangala walikuwa wanacheza ili Yanga ifungwe?Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Ukweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi,shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani...
Leo HakunA KuteteMA wala kupiga mkono.Kuna raia itakuwa zinaangalia mpira huku zimemoka madhara yake ndo haya. Onyango kapata njano kwa huyo unaemuita mzurulaji, Manura kidogo achome kibanda kwa huyo huyo mzurulaji. Na kawakosa goli kidogo tu kama angetulia.
Lete takwimu za mechi ya Leo.Bahati yako umepaki basi ila mechi ya pili kipigo kitakupata tu kama ilivyo kwenye misimu minne iliyopita mechi za kwanza huwa unatoa sare kwenye ligi ila za marudiano unakula kichapoWewe ni Utopolo kuanzia juu mpaka chini
Vp Kagere,Kibu Dennis,Boko,Morrison ambaye alitolewa baada ya kuchemshaUkweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi,shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani...
Bahati yenu si mlipaki basi.Tafuta takwimu za mechi ya leo kutoka kwa wachambuzi wote unaowaamini uangalie hali ya leo ilikuwaje kwa Simba.Kweli utopolo ni utopolo Tu,sasa unasema bila onyango na Inonga Simba wangefungwa,kwani hao Inonga na onyango ni wachezaji Simba imewakopa kutoka Namungo au Azam?
Sema man hapa na wewe utakuwa umeshakula kaya macho hayaoni tena.Mayele anapata mpira alichokuwa anafanya cha ajabu sana ni kusahau mpira au Onyango achukue ball.Ukitaka kujua Mayele alikuwa mtembezi au vipi angalia attempt zake kwenye goli zilikuwa ngapi leo.Kuna raia itakuwa zinaangalia mpira huku zimemoka madhara yake ndo haya. Onyango kapata njano kwa huyo unaemuita mzurulaji, Manura kidogo achome kibanda kwa huyo huyo mzurulaji. Na kawakosa goli kidogo tu kama angetulia.