Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]
FB_IMG_16392426505748809.jpg
 
Ukweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi, shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani.

Inonga anatumia sana akili mpaka anakera. Onyango ni mzito sana wa mwili ila anaweredi mkubwa wa kucheza mipira ya uvunguni pia anatumia vema thinking capacity ya kusoma vema move za washambuliaji.
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Lengo lako ni huyo mchezaji wa chini au hao wawili?
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Kwahiyo kina Aucho na Bangala walikuwa wanacheza ili Yanga ifungwe?

Kwaiyo Onyango na Inonga walitumwa kufanya Nini uwanjani.
 
Ukweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi,shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani...

Kuna raia itakuwa zinaangalia mpira huku zimemoka madhara yake ndo haya. Onyango kapata njano kwa huyo unaemuita mzurulaji, Manura kidogo achome kibanda kwa huyo huyo mzurulaji. Na kawakosa goli kidogo tu kama angetulia.
 
Leo HakunA KuteteMA wala kupiga mkono.
Leo walikuwa wanabana hakuna kukimbia kimbia.
 
Wewe ni Utopolo kuanzia juu mpaka chini
Lete takwimu za mechi ya Leo.Bahati yako umepaki basi ila mechi ya pili kipigo kitakupata tu kama ilivyo kwenye misimu minne iliyopita mechi za kwanza huwa unatoa sare kwenye ligi ila za marudiano unakula kichapo
 
Ukweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi,shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani...
Vp Kagere,Kibu Dennis,Boko,Morrison ambaye alitolewa baada ya kuchemsha
 
Kweli utopolo ni utopolo Tu,sasa unasema bila onyango na Inonga Simba wangefungwa,kwani hao Inonga na onyango ni wachezaji Simba imewakopa kutoka Namungo au Azam?
Bahati yenu si mlipaki basi.Tafuta takwimu za mechi ya leo kutoka kwa wachambuzi wote unaowaamini uangalie hali ya leo ilikuwaje kwa Simba.
 
Kuna raia itakuwa zinaangalia mpira huku zimemoka madhara yake ndo haya. Onyango kapata njano kwa huyo unaemuita mzurulaji, Manura kidogo achome kibanda kwa huyo huyo mzurulaji. Na kawakosa goli kidogo tu kama angetulia.
Sema man hapa na wewe utakuwa umeshakula kaya macho hayaoni tena.Mayele anapata mpira alichokuwa anafanya cha ajabu sana ni kusahau mpira au Onyango achukue ball.Ukitaka kujua Mayele alikuwa mtembezi au vipi angalia attempt zake kwenye goli zilikuwa ngapi leo.
 
Back
Top Bottom