Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Utopolo nadhani mnaujua ukweli, mmemaliza dakika 90 kwa kujiburuza, moto ulikuwa sebuleni![emoji881][emoji881]
Naomba ulete takwimu za wachambuzi wote unaowaamini kuthibitisha ulichokisema.Ukweli ni kwamba Yanga kamburuza Simba kwenye takwimu za mechi ya leo.Kilichokuhokoa leo ni kupaki basi vinginevyo ungehaibika tusubiri mechi nyingine wakati huo Yanga atakuwa mwenyeji wako.
 
Mi
Lete takwimu za mechi ya Leo.Bahati yako umepaki basi ila mechi ya pili kipigo kitakupata tu kama ilivyo kwenye misimu minne iliyopita mechi za kwanza huwa unatoa sare kwenye ligi ila za marudiano unakula kichapo
Misimu minne?
 
Bahati yenu si mlipaki basi.Tafuta takwimu za mechi ya leo kutoka kwa wachambuzi wote unaowaamini uangalie hali ya leo ilikuwaje kwa Simba.
Simba kupaki basi kwa Yanga huo utakuwa mpira wa redioni, sema fanya hivi siku nyingine nenda uwanjani cheki futbol wewe haya mambo ya kupata matokeo kwa jirani madhara yake ndio kama hivi
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Mpwa, naona ww ulitizama mechi kupitia TV ya aborder . Maana hoja yako itakufikisha mbinguni ukiwa umechoka sana
 
Mnasifia rafu....Onyango kapigwa tobo kacheza mieleka. Nyingine kageuzwa....bahati mbaya Mayele kateleza. Mnamuota Mayele.....na mmeshangilia sana alivotoka
Ukweli wa mambo ni kwamba Onyango na Varane wametimiza majukumu yao kama walinzi,shida ilikua kwa wakina Mayele kupigwa pini na hao walinzi mpaka Mayele kutolewa alikua anazurula tu uwanjani.

Inonga anatumia sana akili mpaka anakera.
Onyango ni mzito sana wa mwili ila anaweredi mkubwa wa kucheza mipira ya uvunguni pia anatumia vema thinking capacity ya kusoma vema move za washambuliaji.
 
Simba Leo wamelala na viatu. Manula Leo alikua akipotezana na mabeki wake Kama mwehu. Leo Simba kutofungwa ilikua ni bahati tu.
 
Kuna lingine linasema eti onyango alimkamia sana mayele sasa siju lilitakaje mishabiki ya yanga muda mwingine kama michizi
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Hata mimi naamini kama UTOPWENGA wasingelimpanga kipa walikuwa wanaoga za kutosha.

kwa hiyo wewe unadhani hao wachezaji uliowataja walisajiliwa waje wafanye UKABWILI AU?
AU hao wachezaji uliowataja sio wa SIMBA SC?

"WANAUTOPWENGA WOTE NI TUMBILI NA UMBWA"-SIR LUCY EYMAEL. MAY 2019.
Mimi ni nani hata nikatae?
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040851

Mbwa wa njano huyu ni wa utopoloni. Halafu wakaingia uwanjani kupitia emergency exits za ambulance!!!
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843View attachment 2040851
Hamkumuona kijana mohamed hussein akimzuia yule kijana anayejiita yesu moloko kijana aliyechukua nafac ya kisinda
 
Huna ajili wewe, sasa Inonga na Onyango ni wachezaji wa Mtibwa au?
Si mnawaitaga wazee sasa nahisi Leo mmeona kuwa uzee dawa.
 
Pia niliona Inonga akimsindikiza Mayele kutoka uwanjani na Kumkaribisha Heriet Makambo ambaye hakubahatika kugusa mpira hadi game inaisha.

Walitimiza majukumu yao ya ulinzi ipasavyo.
 
Naomba ulete takwimu za wachambuzi wote unaowaamini kuthibitisha ulichokisema.Ukweli ni kwamba Yanga kamburuza Simba kwenye takwimu za mechi ya leo.Kilichokuhokoa leo ni kupaki basi vinginevyo ungehaibika tusubiri mechi nyingine wakati huo Yanga atakuwa mwenyeji wako.
Kweli Simba walipaki basi walikuwa wanataka wapate walau point moja ndo maana wamepiga SHOTI 1 ON TARGET na MASHUTI 2 OFF TARGET, wana bahati sana basi lao lilipaki vzr.
 
Back
Top Bottom