zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Naomba ulete takwimu za wachambuzi wote unaowaamini kuthibitisha ulichokisema.Ukweli ni kwamba Yanga kamburuza Simba kwenye takwimu za mechi ya leo.Kilichokuhokoa leo ni kupaki basi vinginevyo ungehaibika tusubiri mechi nyingine wakati huo Yanga atakuwa mwenyeji wako.Utopolo nadhani mnaujua ukweli, mmemaliza dakika 90 kwa kujiburuza, moto ulikuwa sebuleni![emoji881][emoji881]