Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Utopolo nadhani mnaujua ukweli, mmemaliza dakika 90 kwa kujiburuza, moto ulikuwa sebuleni![emoji881][emoji881]
Naomba ulete takwimu za wachambuzi wote unaowaamini kuthibitisha ulichokisema.Ukweli ni kwamba Yanga kamburuza Simba kwenye takwimu za mechi ya leo.Kilichokuhokoa leo ni kupaki basi vinginevyo ungehaibika tusubiri mechi nyingine wakati huo Yanga atakuwa mwenyeji wako.
 
Mi
Lete takwimu za mechi ya Leo.Bahati yako umepaki basi ila mechi ya pili kipigo kitakupata tu kama ilivyo kwenye misimu minne iliyopita mechi za kwanza huwa unatoa sare kwenye ligi ila za marudiano unakula kichapo
Misimu minne?
 
Bahati yenu si mlipaki basi.Tafuta takwimu za mechi ya leo kutoka kwa wachambuzi wote unaowaamini uangalie hali ya leo ilikuwaje kwa Simba.
Simba kupaki basi kwa Yanga huo utakuwa mpira wa redioni, sema fanya hivi siku nyingine nenda uwanjani cheki futbol wewe haya mambo ya kupata matokeo kwa jirani madhara yake ndio kama hivi
 
Mpwa, naona ww ulitizama mechi kupitia TV ya aborder . Maana hoja yako itakufikisha mbinguni ukiwa umechoka sana
 
Mnasifia rafu....Onyango kapigwa tobo kacheza mieleka. Nyingine kageuzwa....bahati mbaya Mayele kateleza. Mnamuota Mayele.....na mmeshangilia sana alivotoka
 
Simba Leo wamelala na viatu. Manula Leo alikua akipotezana na mabeki wake Kama mwehu. Leo Simba kutofungwa ilikua ni bahati tu.
 
Kuna lingine linasema eti onyango alimkamia sana mayele sasa siju lilitakaje mishabiki ya yanga muda mwingine kama michizi
 
Hata mimi naamini kama UTOPWENGA wasingelimpanga kipa walikuwa wanaoga za kutosha.

kwa hiyo wewe unadhani hao wachezaji uliowataja walisajiliwa waje wafanye UKABWILI AU?
AU hao wachezaji uliowataja sio wa SIMBA SC?

"WANAUTOPWENGA WOTE NI TUMBILI NA UMBWA"-SIR LUCY EYMAEL. MAY 2019.
Mimi ni nani hata nikatae?
 

Mbwa wa njano huyu ni wa utopoloni. Halafu wakaingia uwanjani kupitia emergency exits za ambulance!!!
 
Hamkumuona kijana mohamed hussein akimzuia yule kijana anayejiita yesu moloko kijana aliyechukua nafac ya kisinda
 
Huna ajili wewe, sasa Inonga na Onyango ni wachezaji wa Mtibwa au?
Si mnawaitaga wazee sasa nahisi Leo mmeona kuwa uzee dawa.
 
Pia niliona Inonga akimsindikiza Mayele kutoka uwanjani na Kumkaribisha Heriet Makambo ambaye hakubahatika kugusa mpira hadi game inaisha.

Walitimiza majukumu yao ya ulinzi ipasavyo.
 
Kweli Simba walipaki basi walikuwa wanataka wapate walau point moja ndo maana wamepiga SHOTI 1 ON TARGET na MASHUTI 2 OFF TARGET, wana bahati sana basi lao lilipaki vzr.
 
Kuna Utopolo humu JF anapita kila Uzi anasherehekea Tobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…