Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

Kuna raia itakuwa zinaangalia mpira huku zimemoka madhara yake ndo haya. Onyango kapata njano kwa huyo unaemuita mzurulaji, Manura kidogo achome kibanda kwa huyo huyo mzurulaji. Na kawakosa goli kidogo tu kama angetulia.
Njano ni sehemu ya mchezo ndugu,tena kwa beki kupata kadi ya njano sio jambo la kushangaza.kwani akuna mchezaji wa Yanga ambae akupata kadi jana?
 
Vp Kagere,Kibu Dennis,Boko,Morrison ambaye alitolewa baada ya kuchemsha
Ndio na wao pia walipigwa pini na mabeki wa Uto ingawa Morison alionyesha usumbufu alitolewa kwasababu ya hasira zake angeweza kupewa kadi ya pili ya njano ikafatiwa na red kwasababu alikua na kadi ya kwanza iliyisababishwa na izo hasira.
 
Hoja dhaifu sana. Kwani si wachezaji wa Simba?Ulitaka acheze nani. Eti bila wachezaji hawa, ulitaka miti ndio icheze?
Ameshakunywa vibia vyake vya promotion huko anajua kila mtu amelewa
 
Lete takwimu za mechi ya Leo.Bahati yako umepaki basi ila mechi ya pili kipigo kitakupata tu kama ilivyo kwenye misimu minne iliyopita mechi za kwanza huwa unatoa sare kwenye ligi ila za marudiano unakula kichapo
Kwamba Simba ili paki basi ??[emoji23][emoji23]
 
Kama mara mbili namuona onyango pumzi ikikata,basi tu yanga wangekuwa wanamjia mara nyingi pale alipo angeomba poo.
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843
Ndio maana ya usajili wenye malengo..... Leo utopolo mnamsifia Onyango na hamumuiti mzee tena?
 
Kama mara mbili namuona onyango pumzi ikikata,basi tu yanga wangekuwa wanamjia mara nyingi pale alipo angeomba poo.
Asa wanamjiaje na hawana wachezaji wenye uwezo huo? Nani angemjia? Ni mayele aliyebanwa hadi akaomba kutoka?
 
Kwa hiyo Onyango amechoka au bado? Ni mzee au uzee mwisho Chalinze?
 
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843
Bila waamuzi ilikua yanga amefungwa 2
 
Kwani wa mkopo hawa wachezaji..? 😂😂😂😂 ni mali ya simba hao bwana ww. Walichokifanya ndicho kilichowaleta
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni simba kwa kutoa draw na timu kubwa ya yanga mpeni pongezi yule fisi wenu alieingia uwanjani[emoji1][emoji1]View attachment 2040843
 
Kuna wakati natamani kutukana lakini nagundua kuwa Nimeokoka. Anyway itoshe kusema stupid..Nonesense!
 
Yanga mshukuruni sana refa lasivyo mlikua mnapasuka jana.
 
Jana Simba ilikosa tu viongo washambuliaji wabunifu, uto lazima angekaa jana
 
Kenya's Onyango demands double salary to extend Simba SC stay​

With his deal with the reigning Tanzania Mainland League champions ending at the end of the ongoing campaign, the 28-year-old has made clear his demands to remain at the club.

What does Onyango want?

According to Mwanaspoti, the Harambee Stars defender has demanded his salary to be doubled. He currently earns about Ksh. 295,000 a month, but in his new deal, the centre-back has asked for Ksh. 565,000.

On top of that, he has demanded Ksh. 3,000,000 as a sign-on fee to extend his stay at the club for two more years.

Other players who are negotiating with the club for contract extension are Tanzania international Aishi Manula, Rally Bwalya, Hassan Dilunga, Meddie Kagere, Chris Mugalu, Yassin Mzamiru, Jonas Mkude, Pascal Wawa and Bernard Morrison.

What is Simba management saying?

Club's CEO Barbara Gonzalez has assured fans and supporters that the management is working hard alongside the technical bench to extend the contracts of the players they will need beyond this season.

"I am assuring Simba fans everything is on the pipeline and they should remain calm," Gonzalez said.

"We have planned ourselves accordingly and we have enough money to retain all our best players.

"Simba have many quality players for long-term targets and we are not ready to let them leave. Before the season ends, we will sort out contractual issues in the team."

The Msimbazi-based charges have not been at their best this season. They are trailing their bitter rivals Yanga SC by 10 points. The latter have won 11 games from the 13 they have played, and secured two draws, scoring 23 goals and conceding four.

The defending champions, who are on 25 points, have managed seven wins from 13 games as well, four draws and two losses. Their attacking department has been struggling; they have scored 14 goals and conceded six

Source : Goal.com
 
Back
Top Bottom