Uchaguzi 2020 Bila wasanii Magufuli hapati hata watu 100. Wafuate nini?

Uchaguzi 2020 Bila wasanii Magufuli hapati hata watu 100. Wafuate nini?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna viongozi wana mvuto wa asilia kwa watu (charismatic leaders). Hawa viongozi wana sifa zifuatazo:-

Characteristics of Charismatic Leader
1. Confident..
Charismatic leaders ooze confidence; there is no doubt about that.

2. Compassionate.. Compassion is a characteristic that embodies all leadership styles but can be strongly found within a charismatic
leadership style.

3. Communicative.

4. Emotive.

5. Determined.

6. Visionary.

Kwa sifa tajwa hapo juu ni dhahiri kwamba rais Magufuli hana sifa zote kasoro namba 5 tu nayo kwa mbaaali Sana.

Sasa kwa kuzingatia vigezo hivyo mwananchi atavutiwa na nini aende kwenye mikutano ya Magufuli?

Hana sifa zote hapo ndiyo maana bila wasanii hata watu 100 hapati. Wafuate nn?

Angalia hofu kubwa iliyompata baada ya Lissu: the Orator and charismatic leader kurejea! Watu wanajipeleka bila kuitwa, bila shaka mlishuhudia siku anawasili uwanja wa ndege.

Polisi walipiga mkwara akini jiji likatetemeka. Huyu ndiye charismatic leader.
 
Elimu bure najua ni kitanda ambacho wamekitandikia, na kuongea ongea.
 
Ye mwenyewe msanii tosha akianza na SGR, vituo vya afya, dreamliner na elimu bure tatizo watu washauchoka huo wimbo maana anauimba kila leo sio Makanisani, Misikitini, kwenye uzinduzi, utumbuaji, uapishaji ni huo.Bora tubebe wasanii wakafanye shoo na wananchi wasipojaa mafuso yapo yakuwabeba wajaze uwanja
 
Leo wamewakutanisha wajasiliamali wa dini Eti watoe tamko la kumuunga mkono!!! Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu. Kweli Lissu kawashika watu pabaya!!
 
Leo wamewakutanisha wajasiliamali wa dini Eti watoe tamko la kumuunga mkono!!! Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu. Kweli Lissu kawashika watu pabaya!!
Wachaaa! Hiyo Safi. Ndiyo wakome kujipendekeza.
 
Ukumbuke wapo walio ibuka kipindi chake nakuwa matajiri
Nani yule anaye yaonesha mawe ya Kagame anajifanya yake? Nani asiyejua kwamba Kagame ndiyo amekabidhiwa Mererani? Kwahiyo yale mawe siyo ya yule mmasai.

Hvi unazijua bil.7 wewe? Uzipate bil.7 uendelee kuvaa lubega? Achana kabisa na tabia ya pesa.
 
😂😂😂 Lissu amepeleka msukosuko huko Lumumba!!
Lisu angekuwa anatokea mikoa ya pembezoni jiwe angemvua uraia. Sasa ngoma imezaliwa katikati ya Tanzania na inaijua sheria. Anaanzia wapi?
 
Nani yule anaye yaonesha mawe ya Kagame anajifanya yake? Nani asiyejua kwamba Kagame ndiyo amekabidhiwa Mererani? Kwahiyo yale mawe siyo ya yule mmasai.

Hvi unazijua bil.7 wewe? Uzipate bil.7 uendelee kuvaa lubega? Achana kabisa na tabia ya pesa.
Hahahaha tanzania na mambo yake
 
Nani yule anaye yaonesha mawe ya Kagame anajifanya yake? Nani asiyejua kwamba Kagame ndiyo amekabidhiwa Mererani? Kwahiyo yale mawe siyo ya yule mmasai.

Hvi unazijua bil.7 wewe? Uzipate bil.7 uendelee kuvaa lubega? Achana kabisa na tabia ya pesa.
Mkuu banaa kwa Chumviii, ati mmasai havai lubega akiwa bilionea!!

Utakuja kuwasimanga wakina Mohamed Bin Salman kuwa Ni matrilionea wa Aina gani kutwa kuvaa Kanzu,majoho na heggal,mkuu Sexless bnaaaa looooh
 
Kampeni zake inawezekana zikajaa masimango na majigambo. Simuoni akiwanyenyekea wananchi. Kama alivyofanya 2010 mpaka akapiga push up majukwaani.
 
Back
Top Bottom