Uchaguzi 2020 Bila wasanii Magufuli hapati hata watu 100. Wafuate nini?

Uchaguzi 2020 Bila wasanii Magufuli hapati hata watu 100. Wafuate nini?

Mcheki Mo.... Mo na mmasai kiumri wako sawa. Lkn Mo anaonekana kama mtoto wa mmasai. Madam Rita (japo hana bilioni) anaonekana kama mdogo wake Shilole. Fedha mkuu acha tu.
Well...
Mo ni mhindi...hapigwi na jua,anafanya Sana mazoezi na mkazi wa jijini....

Madame Ritha Ni chotara,mla Bata mjini,Laizer kutwa anakaa juani Tena umasaini....mkuu wangu bnaaa
 
Well...
Mo ni mhindi...hapigwi na jua,anafanya Sana mazoezi na mkazi wa jijini....

Madame Ritha Ni chotara,mla Bata mjini,Laizer kutwa anakaa juani Tena umasaini....mkuu wangu bnaaa
Bilioni saba zilipaswa kumpeleka visiwa vya Hawaii akale bata atakate na kupata babay face. Kama hafanyi hivyo ni ngumu Sana kutuaminisha kwamba ana bil. 7.

Pesa huwa inamhamisha mtu makazi automatically tu. Si unaona hata wasanii tu wakipata hela ya mboga wanahama toka Tandale kwenda Masaki.
 
Yeyemwenyewe msanii tosha huoni sanaa zake za kununua jogoo ,mahindi , samaki ,kahawa hajambo .kwenye sanaa.
 
Bila wasanii kuhongwa na Maguli magu angezidiwa na yule nabii mlevi
 
Leo wamewakutanisha wajasiliamali wa dini Eti watoe tamko la kumuunga mkono!!! Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu. Kweli Lissu kawashika watu pabaya!!
Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
S
Bilioni saba zilipaswa kumpeleka visiwa vya Hawaii akale bata atakate na kupata babay face. Kama hafanyi hivyo ni ngumu Sana kutuaminisha kwamba ana bil. 7.

Pesa huwa inamhamisha mtu makazi automatically tu. Si unaona hata wasanii tu wakipata hela ya mboga wanahama toka Tandale kwenda Masaki.
Sasa atahamaje toka MBUGUNI na wakati kila baada ya mwezi Mungu anamuona KUOPOA mzigo MPYA ardhini?!!!
 
Back
Top Bottom