Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Well...Mcheki Mo.... Mo na mmasai kiumri wako sawa. Lkn Mo anaonekana kama mtoto wa mmasai. Madam Rita (japo hana bilioni) anaonekana kama mdogo wake Shilole. Fedha mkuu acha tu.
Bilioni saba zilipaswa kumpeleka visiwa vya Hawaii akale bata atakate na kupata babay face. Kama hafanyi hivyo ni ngumu Sana kutuaminisha kwamba ana bil. 7.Well...
Mo ni mhindi...hapigwi na jua,anafanya Sana mazoezi na mkazi wa jijini....
Madame Ritha Ni chotara,mla Bata mjini,Laizer kutwa anakaa juani Tena umasaini....mkuu wangu bnaaa
Sijui nipande jukwaa gani niwaeleze wananchi juu ya uovu wa huyu jiweYeyemwenyewe msanii tosha huoni sanaa zake za kununua jogoo ,mahindi , samaki ,kahawa hajambo .kwenye sanaa.
Siyo kwa magufuli ndugu. Maqna amewafukarisha watu wengi Sana. Halafu akatamba hadharani kuwa hiyo ndiyo raha yake..."matajiri wataishi kama mashetani".
Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo wamewakutanisha wajasiliamali wa dini Eti watoe tamko la kumuunga mkono!!! Mbaya zaidi waziri mkuu kaishia kuwafokea tu. Kweli Lissu kawashika watu pabaya!!
Sasa atahamaje toka MBUGUNI na wakati kila baada ya mwezi Mungu anamuona KUOPOA mzigo MPYA ardhini?!!!Bilioni saba zilipaswa kumpeleka visiwa vya Hawaii akale bata atakate na kupata babay face. Kama hafanyi hivyo ni ngumu Sana kutuaminisha kwamba ana bil. 7.
Pesa huwa inamhamisha mtu makazi automatically tu. Si unaona hata wasanii tu wakipata hela ya mboga wanahama toka Tandale kwenda Masaki.