fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
kila Siku anatoa hit song duh BACK 2 BACK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kweli we unaweza ukawa bishoo kunizidi mimi kweli?kila Siku anatoa hit song duh BACK 2 BACK View attachment 870382
hahahaha umewaza nn mkuuhivi kweli we unaweza ukawa bishoo kunizidi mimi kweli?
mkuu kwani JF kuna butcher??Hata nyama hakuna.
beat haina tofauti kabisa mkuu ni show me kila kila kitu lizer amegoma kubadilikaUwo wimbo ni wa kawaida sana alafu sikiliza beat vizuri mwanzoni ni copy and paste ya show me
Utakuwa na gubu wewe sio kwa u hater huoUwo wimbo ni wa kawaida sana alafu sikiliza beat vizuri mwanzoni ni copy and paste ya show me
Mkuu kauskilize vizuri utagundua ile ni copy and pasteUtakuwa na gubu wewe sio kwa u hater huo
nimeikumbuka signature yako Yes Bishoo hasa 😂hahahaha umewaza nn mkuu
jf app yao inazngua inagoma kutoa signnimeikumbuka signature yako Yes Bishoo hasa 😂
hapana sio copy and paste..Uwo wimbo ni wa kawaida sana alafu sikiliza beat vizuri mwanzoni ni copy and paste ya show me
Sitarajii makubwa kutoka kwa Mbosso, ataishia ligi hii hii ya nyumbani!
Anashindwa kujaza kwenye korido afu useme anajua may be useme 2017 ndo alikuwa anajua but now is empty bottleYaani Mimi kibongobongo namsikiliza aslay tu....
Anajua dogoo
Kushindwa kubadilika huko ndo kufeli Sasa ,ko mpaka now aslay atunae Tena kwenye game maybe beka flavour,but nayeye anavyoimba Kama chereani ya sabufa atuna Budi kusema MBOSSO ndo mtemi wao from nowNilikuwa namkubali sana Maromboso kuliko Mbosso.
Beka flavour hana promo tu na Aslay anajua sana ila angejitahidi akabadilika na kuchanganya aina ya muziki anaofanya.
Mbosso bado sijamuelewa mpaka leo.