Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni.mmoja wa mafisadi wanaokidhamini chama ili waendelee kupewa misamaha ya kodi
Ni muendelezo wa kutaka kulinda mfumo ulio mtajirisha.
Wote wenye manufaa na mfumo, lazima watatetea kulinda mfumo, tunaelewa na hatuwalaumu, sisi tutavunja mfumo.
2005 wakati wa campaign JK akiwa Mwanza aliahidi kutengeneza mabilionea watano kwa juhudi zake yy kabla ya kuondoka madarakani, mmoja wa hao mabilionea ni huyu Ali mafuruki wa Simba Net, na mwanae Ridhiwan Kikwete! Namna gsni hawa wamekuwa bilioneas ni siri yao na JK
Wewe vipi?
Unafikiri Lowassa atakuja kukupa ubilionea?
Unaonesha wewe Krismasi ya 10 hujaenda kwenu.
Vp kina rostam na mengi..hata lowasa ni bilionea...tena wenyew wana kadi za ccm kabisa.Ni muendelezo wa kutaka kulinda mfumo ulio mtajirisha.
Wote wenye manufaa na mfumo, lazima watatetea kulinda mfumo, tunaelewa na hatuwalaumu, sisi tutavunja mfumo.
Biashara zake ni zipi?kaajiri watu wangapi?analipa kodi TRA kiasi gani?Mkuu ni bilionea wa Tanzania
Mkuu ni bilionea wa Tanzania
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli
Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
Hivi kwanini wanatumia Slogan za Lowasa?