Elections 2015 Bilionea Ali Mafuruki, Atoa ya moyoni

Elections 2015 Bilionea Ali Mafuruki, Atoa ya moyoni

Anabiasharanyingi anajua kodi ataulizwa
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!

ni bilionea?
 
Wewe vipi?

Unafikiri Lowassa atakuja kukupa ubilionea?

Unaonesha wewe Krismasi ya 10 hujaenda kwenu.

Tanzania hakuna bilionea wewe

Njoo huku duniani uone vijana wadogo hapo bongo huyo mohamed dewji anajitahid wengine wapo very normal
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!

asubirie tu basi apigiwe kura na mabilionea kama ubilionea ndio kigezo cha kupata kura, kwa bahati mbaya 80% ya taifa ni ma bukulionea hawajafika ata lakionea sijui itakuwaje
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!

Atakuwa mkwepa kodi huyo
 
Tuna mabilionea wawili tuu tz.. Rostam & Mohamed Dewdji.
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!

Kuna Mtu Wa UKAWA Mwenye UBAVU Wa Kumnunua Mzee Mafuruki? Pesa Zote Za KAMPENI Za UKAWA, Pesa Za Lowassa Binafsi, Za Mbowe Na Vibiashara Vyake Uchwara, Za Mzee Ndesamburo, Za Rostam Aziz, Karamagi, Manji Na Mengi, Pensheni Ya Sumaye Na Kiinua Mgongo Cha Tundu Lissu Zote Kwa Pamoja Wazichanganye Bado Hawatafikia Hata Tu Robo Tatu Za UTAJIRI Wa Huyu Mtani Wangu Wa Kihaya Mzee Mafuruki. Nafurahi Tu Kwamba Kadri Siku Zinavyoenda WASOMI Na MATAJIRI Wanaojitambua Wanaanza Kumuunga Mkono Rais Mtarajiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na MTAKE MSITAKE Huyo Ndiyo Rais Wenu Hutaki Hama Nchi au Jinyonge Tu.
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
Katumia haki yake ya kikatiba

I hope hatajitolea kufacilitate debates kwasababu tayari ameshaegemea upande mmoja
 
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli

Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
Mkuu sikutegemea tofauti na hilo kutoka kwake
 
Kama mafuruki kamsapoti magufuli ninapata mashaka
 
ni bilionea?

Ali MufurukiNet worth: $110 millionSource: Retailing, Venture capitalMufuruki is the founder and Executive chairman of-Tanzania’s-Infotech Investment Group. The group holds the Tanzanian and Ugandan franchise for South African retail giant-Woolsworth. Infotech also has interests in property development and leasing, hospitality, advertising and mobile telecommunications. Mufuruki is also a co-founder and partner at-East Africa Capital Partners, a technology, media and telecommunications sector focused Venture Capital Fund Manager investing in the greater Eastern Africa region. Also a prominent board room guru, Mufuruki sits on the boards of the Nation media group, East Africa’s largest media conglomerate and Stanbic bank-Tanzania. He is also the chairman of Africa-Leadership Initiative East Africa Foundation-which aims to develop a new generation of values-based community spirited leaders in Africa.

Forbes
 
Tuna mabilionea wawili tuu tz.. Rostam & Mohamed Dewdji.
Mkuu unajiabisha unawajua Forbes?

Naona hata Bakheresa umemtoa.

Teh Teh teh siku moja moja pitia habari za dunia.
 
Sasa kwa alimfuruki ana piga kura ngapi??? Si moja kama mimi. Alafu kura huwa ni siri ya mtu kwanini atangaze kura yake? Hata angekuwa kama bill gate anapiga kura moja tuuu
 
Back
Top Bottom