TANZIA Bilionea Charlie Munger afariki Dunia

TANZIA Bilionea Charlie Munger afariki Dunia

Waliokufa leo ni pamoja na Henry Kissinger - Former US Secretary of State, Alistair Darling former chancellor(waziri wa fedha) UK na Shane McGowan mwanamuziki mashuhuri. generation yao naona wanaishia.
 
Wenzetu wana succession plan ya kueleweka na Nchi zilizoendelea huziangalia kwa ukaribu kampuni ambazo zina impact kubwa kwenye nchi yao.

Kwa Tanzania mzee Mengi alijitahidi
Mzee Mengi alikua mzungu kasoro ngozi
 
Back
Top Bottom