Bilionea Chris Lukosi kuibadilisha Tanzania kuwa China kuanzia mwezi Disemba

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu Iringa nk nk.
Screenshot_20231101-172943_Lite.jpg
 
Ukipita Chadema lazima uwe Bilionea , Hiki chama huwa kinaongeza uwezo wa kufikiri .
 
Jamaa Ana mbwembwe kweli

Anachotaka kufanya siyo kuuza

Maaused ohooo

Anyway atakuwa kapata wafadhili nje

Anaangalia namna ya kuvuta pesa yao

Ova
 
Aloo wahehe na ulanzi ni damdam.

Kuna yule msanii mnyalu nae alitakua na ndoto za kugeme ulanzi kirpofesheno, huyu nae anataka atoe fungu kwa ajili ya ulanzi.
Bongo zozo nae aliishi iringa akaukubali ulanzi full kuusifia.

Ulanzi wa hawa wa kujinyonga una nini aisee.?
 
Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu Iringa nk nk.
View attachment 2800309
kusema rahisi kuliko kutenda
 
Namsifu anyway kutoka kwenye upolisi mpaka hapo alipo

Ova
 
Ongea vizuri na sisi. 😈😈😈😈😈😈😈

Back
Top Bottom