Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 501
- 788
Wana jf Natumai wote ni wazima, Kuna taarifa kuwa kuna bilionea mmoja wa itali amepanga kujenga Bilionea club malindi Kenya. Ujenzi huo utagharimu U$D 700,000,000 na ujenzi wa club hiyo utachukua miaka miwili, Hivi sasa warembo kumi na nne wamepelekwa Itali kusomea jinsi ya kutoa service kwa wateja wa club hiyo, ambapo ni lazima uwe bilionea kuweza kuingia hapo.