Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani


TUMBIRI hayo anayo taka kufanya yataliingiza Taifa matatani siku za mbeleni. Asifanye mambo kwa sifa.
 
Katoa rushwa ya b600 marekani
 
Wapotishaji kama nyie sijui Kwa nini Serikali inawaachia.

Ndio maana wote mnaobanwa kende siwezi waonea huruma kwa sababu mnapotosha mambo Kwa malengo ya kuleta tahatuki.

Ni lini Serikali ilisema inataka kumpa Gautan Adan Tanesco? Adani ni Mwekezaji kama walivyo wengine amewekeza Bandarini na anataka kuwekeza kwa kujenga lines za kusafirisha umeme,hapo ndio kapewa Tanesco?

Mwisho swala la kutoa rushwa Ili kampuni au mtu apate tenda ni jambo la kawaida kabisa kwenye sekta za Ujenzi au manunuzi maana bila hivyo hupati,shida ni kwamba washindani wa Adani huko USA ndio wamemchoma otherwise hakuna shida na rushwa za hivyo ni tamu sana maana hakuna hela ya serikali inapotea.
 
Cc Mwanahabari Huru
 
Kafulila nilijua atanasa kirahisi sana!
 
Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi.

Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings.
 
Tanganyika rudi, tumeichoka Tanzania..

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Sijui unaposema ''sema pale airport alikuwa anaweka mpunga mrefu sana kuliko ambao hawa emirates wameweka pale bandarini'' una maana gani kwa sababu ni sehemu mbili tofauti na mikataba ni tofauti.
Kenya walikuwa na mikataba miwili, mmoja wa airport na mwingine wa umeme. Yote Ruto ka cancel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…