Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Can't disagree....muda ni mwalimu mzuri sana. Ukijaaliwa ukapata kuishi sana hatimaye ujinga wa watu wengi utauona!Tangu lini tumbili akawa na akili
Tumbili is a glorified fool!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can't disagree....muda ni mwalimu mzuri sana. Ukijaaliwa ukapata kuishi sana hatimaye ujinga wa watu wengi utauona!Tangu lini tumbili akawa na akili
Investigation UnitKafulia ni mtu wa hovyo hovyo tu
Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi.
Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings.
ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!ADANI amezua taharuki Nchi Jirani baada ya Utapeli wake kubainika huko New York Marekani
Wananchi wamechachamaa wakitaka Jommo Kenyatta International Airport irejeshwe Serikalini
Je, kiendacho kwa Mganga kinarudi?
Credit: Citizen TV
Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi.
Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings.
Hakika,ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!
Wasije kuchukua Bwawa letu maana hawachelewi kushitaki huko mahakama za kimataifa za BishaharaHumu nimekuwa natoa maoni kwamba hao rai wa kigeni, (foreigners), tusiwategemee sana wengi ni matapeli, (most of them are Crookes), have got crooked ideas