Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,508 Reaction score 1,566 Nov 22, 2024 #101 Subira the princess said: Tangu lini tumbili akawa na akili Click to expand... Can't disagree....muda ni mwalimu mzuri sana. Ukijaaliwa ukapata kuishi sana hatimaye ujinga wa watu wengi utauona! Tumbili is a glorified fool!
Subira the princess said: Tangu lini tumbili akawa na akili Click to expand... Can't disagree....muda ni mwalimu mzuri sana. Ukijaaliwa ukapata kuishi sana hatimaye ujinga wa watu wengi utauona! Tumbili is a glorified fool!
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,950 Reaction score 6,215 Nov 22, 2024 #102 chiembe said: Kafulia ni mtu wa hovyo hovyo tu Click to expand... Investigation Unit
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Nov 22, 2024 #103 Mzalendo Uchwara said: Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi. Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings. Click to expand... Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.
Mzalendo Uchwara said: Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi. Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings. Click to expand... Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.
Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,508 Reaction score 1,566 Nov 22, 2024 #104 johnthebaptist said: ADANI amezua taharuki Nchi Jirani baada ya Utapeli wake kubainika huko New York Marekani Wananchi wamechachamaa wakitaka Jommo Kenyatta International Airport irejeshwe Serikalini Je, kiendacho kwa Mganga kinarudi? Credit: Citizen TV Click to expand... ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!
johnthebaptist said: ADANI amezua taharuki Nchi Jirani baada ya Utapeli wake kubainika huko New York Marekani Wananchi wamechachamaa wakitaka Jommo Kenyatta International Airport irejeshwe Serikalini Je, kiendacho kwa Mganga kinarudi? Credit: Citizen TV Click to expand... ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Nov 22, 2024 #105 Mzalendo Uchwara said: Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi. Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings. Click to expand... Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu. Al Zagawi said: ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...! Click to expand... Hakika,
Mzalendo Uchwara said: Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi. Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings. Click to expand... Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu. Al Zagawi said: ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...! Click to expand... Hakika,
K Kikiwo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 2,004 Reaction score 1,095 Nov 22, 2024 #106 Benny Haraba said: Humu nimekuwa natoa maoni kwamba hao rai wa kigeni, (foreigners), tusiwategemee sana wengi ni matapeli, (most of them are Crookes), have got crooked ideas Click to expand... Wasije kuchukua Bwawa letu maana hawachelewi kushitaki huko mahakama za kimataifa za Bishahara
Benny Haraba said: Humu nimekuwa natoa maoni kwamba hao rai wa kigeni, (foreigners), tusiwategemee sana wengi ni matapeli, (most of them are Crookes), have got crooked ideas Click to expand... Wasije kuchukua Bwawa letu maana hawachelewi kushitaki huko mahakama za kimataifa za Bishahara