TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

FLAMBOYANT businessman and socialite, Genius ‘Ginimbi’ Kadungure, Tuesday lost his mother.

Ginimbi’s mother, Juliana was admitted at a clinic in Harare.

According to sources, she lost a battle with cancer.

The socialite confirmed news of his mother’s death in a post on his Twitter page.

“Today it’s one of my darkest days in my life, but who am I to question God. I did all things that money can buy, but this thing called Life it is only God that gives it. My mother, my world is now in heaven. RIP,” he wrote.

Around this same time last year, he buried his younger brother, Andrew whom he sent off in a top notch funeral attended by high profile figures.
**Jamaa alitoa mpaka wakaisha
 
tunasemaga zimbwabwe maisha ni mabovu baada ya vikwazo,halafu tunafarijika na umasikini wetu mmoja mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

kumbe kuna nyandume wanakula bata mumo humo.
rip kibopa wa zimbabwe.
Ndo maisha yalivyo...hata bongo wanasema hali mbaya lakin ukikatiza maeneo utakutana watu unaeza shangaa

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 

Lakin hiyo gari ina matundu ya risasi
 
Kuna watu hawana huruma Binamu.. Nasikia marehemu kasachiwa kila mahali.. Wahuni walitaka kuondoka hadi na Boksa yake.. Viatu wamepita navyo.
Inasemekana hiyo ajali eti imetengenezwa aliwekewa bomu.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmh ok now I see, I’m getting a big picture
 
Kuna watu hawana huruma Binamu.. Nasikia marehemu kasachiwa kila mahali.. Wahuni walitaka kuondoka hadi na Boksa yake.. Viatu wamepita navyo.
Inasemekana hiyo ajali eti imetengenezwa aliwekewa bomu.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Vyote vinawezekana, kwa utajiri na mafanikio aliyonayo, he must have a lot of enemies, so kila kitu kinawezekana, his death was not natural .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…