Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu,

Bilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ng’ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi

Waandishi wa habari wa Millard na Global wamebeba wali kwenye mashati ya na kusahau vipaza sauti ambavo vimetunzwa kwa mwenyekiti wa kijiji

laizer-1-1024x576.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera zao
 
Huyu jamaa ni tajiri toka zamani namfahamu toka mwaka 2000. Bila hata ya hayo madini alikuwa na ukwasi wa kutosha.

We oa wake wanne uzae watoto 30 uone joto ya jiwe.School fees ya mtoto mmoja baada ya shule kufunguliwa umeanza kupiga kelele.

Huyu jamaa ana ng'ombe zaidi ya 2000 na mbuzi 1000.Kuangusha ng'ombe hata uliotaja ni jambo la kawaida kwa mila za kimasai hata asingepata hayo mawe angeweza angusha tu.
 
😂😂😂😂😂 Picha pleaseeee!!!!

Wakuu
Bilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ng’ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi
Waandishi wa habari wa millard na Global wamebeba wali kwenye mashati ya na kusahau vipaza sauti ambavo vimetunzwa kwa mwenyekiti wa kijiji.
 
Back
Top Bottom