Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

Wakuu,

Bilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ngโ€™ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi

Waandishi wa habari wa Millard na Global wamebeba wali kwenye mashati ya na kusahau vipaza sauti ambavo vimetunzwa kwa mwenyekiti wa kijiji

Kafara la ng'ombe sita damu yake inatosha kabisa kwa miaka 2 mfululizo bila kufanya tena
 
Mabilionea wa enzi na enzi mbona wao hawafanyi sherehe, Saniniu anatumika kisiasa ili kuutangaza "wema" wa CCM huku akiwa hajui kuwa hiyo hela aliyolipwa hailingani na thamani ya hayo mawe.

Kwa kweli kaibiwa na CCM Kisha anafanya sherehe huu ni ujinga tu, angekuwa sio mjinga angekataa kuibiwa (kuiuzia CCM hayo mawe) ila kwa ujinga wake kupigwa bao
Unamjua jiwe au unamsikia,uliza wenye maduka ya kubadilishia pesa walichofanywa
 
Huyo dingi ni fogo kitambo, hiyo ni kawaida yake (utaratibu wa kimaasai) kufanya sherehe. Hizo billions kaongezea tu kwenye billions mingine.
 
Back
Top Bottom