Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

Bilionea Laizer afanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini, waalikwa wamekula na kuvimbiwa

[emoji28][emoji28]hao waandishi ni makanjanja sana,wanasahau vipi vitendea kazi.
 
Niliomba kama kuna mtu yupo karibu na huyo billionea amueleze kuwa ninaweza kufua mashuka kama yake yake 90 kwa siku, lakini sikufanikiwa kupata mrejesho, hivyo basi kwa waliokula hizo mbuzi na kubeba wali tafadhali mfikishieni huu ujumbe wangu!
Ahsante...
 
Lakini kapigwa sana. Kumbe kaiuzia serikali kwa robo ya bei ambayo angeuza huko duniani.
Hivi kweli jamaa akubali kirahisi tu Laizer kulipwa 9B?
 
Msiwe mnawazulia watu kitu tofauti na nia zao,siyo sherehe ya kuaga umasikini isipokua atakua akifanya kafara kushukuru na kuomba kuendelea vyema ktk utafutaji wake,haijalishi anamuomba MUNGU au mizimu vyovyote lakini lazima hiyo ndiyo ilikua adhima yake.
 
Mabilionea wa enzi na enzi mbona wao hawafanyi sherehe, Saniniu anatumika kisiasa ili kuutangaza "wema" wa CCM huku akiwa hajui kuwa hiyo hela aliyolipwa hailingani na thamani ya hayo mawe.

Kwa kweli kaibiwa na CCM Kisha anafanya sherehe huu ni ujinga tu, angekuwa sio mjinga angekataa kuibiwa (kuiuzia CCM hayo mawe) ila kwa ujinga wake kupigwa bao
 
Reporter millard ayo kaona isiwe case kanunua mashuka ya kimasai huyo kwenye viunga vya Laizer sasa ivi analanda landa tu maraa aamke kufagia mabanda ya ngombe asubuhi hahaha yani mpaka mswaki ameshanunuliwa hapo
 
Msiwe mnawazulia watu kiti tofauti na nia zao,siyo sherehe ya kuaga umasikini isipokua atakua akifanya kafara kushukuru na kuomba kuendelea vyema ktk utafutaji wake,haijalishi anamuomba MUNGU au mizimu vyovyote lakini lazima hiyo ndiyo ilikua adhima yake.
Uko sahihi, hilo ni tambiko la kimila.
 
Back
Top Bottom