Haijafikia sherehe ya harusi ya kadugu.
Bila Rais Magufuli kupiga ukuta asingekuwa bilionea
Huyo jamaa sio masikini kitambo sana kabla hata hajauza hayo mawe kwa serikali.
Kuangusha ng'ombe ni utaratibu wa siku zote wa kimila.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera zao
Kimila shimo likitema lazima kifanyike hicho kinachofanyika,Hii ni sherehe maalumu kabisa
Millard ayo kashikia bango
Ova
Wakuu
Bilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ng’ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi
Waandishi wa habari wa millard na Global wamebeba wali kwenye mashati ya na kusahau vipaza sauti ambavo vimetunzwa kwa mwenyekiti wa kijiji.
Kwa hiyoHuyo jamaa sio masikini kitambo sana kabla hata hajauza hayo mawe kwa serikali.
Kuangusha ng'ombe ni utaratibu wa siku zote wa kimila.