Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,149
- 2,232
Mwenzio nimeanza mtizi pale JOSHONI! Njoo unione ninavyofumania nyavu! Halafu wewe unanipenda tu, sema bado unajishebedua [emoji57]
Joshoni kwa Mayaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio nimeanza mtizi pale JOSHONI! Njoo unione ninavyofumania nyavu! Halafu wewe unanipenda tu, sema bado unajishebedua [emoji57]
Ndio! Ila sasa hivi nimekuwa mzito, ninacheza mpira kama JOSEPH KANIKI.Joshoni kwa Mayaya?
Mzee baba unavurugu hatari haahaaaaha naona Watu wanataka ligi na tajiri ya mboka
Hawajui kuwa wewe ni too much money wanakuletea dharau! 💰
hahaha Aisee halafu unajua huo wimbo Kuna jamaa yangu mmoja juzi tulikua tunajadili maswala ya hits za miaka ya 80's akawa anatafuta wimbo wa Papa Wemba Maria Valencia na huo Azalaki Awa ila akawa hajui msanii Wala wimbo ila akaniimbia melody kidogo nikajua huyo ni Ghatho Beevans tu akafurahi Sana tukaupakua Ile video na dancing stlye ikawachanganya vijana wakasema kumbe mziki wa zamani mtamu Hivi nikaishia kucheka maana washazoea takataka zao zisizokua na radha na zilizojaa matusi tu!
Muda kama huu nipo MAZINGIRA CENTER, nasikiliza mziki mzuri wa GATHO BEEVANS - AZALAKI AWA 🎶
Majengo hayo Mali ya PSSSF yeye alikuwa mkodishaji tu
Yaani mziki wa zamani na sasahivi ni kama usiku na Gizahahaha Aisee halafu unajua huo wimbo Kuna jamaa yangu mmoja juzi tulikua tunajadili maswala ya hits za miaka ya 80's akawa anatafuta wimbo wa Papa Wemba Maria Valencia na huo Azalaki Awa ila akawa hajui msanii Wala wimbo ila akaniimbia melody kidogo nikajua huyo ni Ghatho Beevans tu akafurahi Sana tukaupakua Ile video na dancing stlye ikawachanganya vijana wakasema kumbe mziki wa zamani mtamu Hivi nikaishia kucheka maana washazoea takataka zao zisizokua na radha na zilizojaa matusi tu!
Kumbe mziki mzuri upo na unaishi!
cc: Wachagga wote na wapare wafanyao biasharaNdio huwa kuna MATAMBIKO mengi sana! Na wengine huwa wanatoa hadi WATOTO wao wa kuzaa wenyewe.
Halafu hawa watu zile BIASHARA KUBWA huwa hawafanyi. Huwa wanafanya BIASHARA NDOGO NDOGO yaani zile BIASHARA ZA REJA REJA na ukikuta wanafanya BIASHARA KUBWA ujue wameshika BIASHARA za watu wengine.cc: Wachagga wote na wapare wafanyao biashara
Hahaha we mtu mbishiLeo nilikuwa busy nakagua betri, rejeta na kupiga stata maana LAND CRUISER-79 SERIES hazijatumika siku nyingi.
Kila kitu kipo shwari, tayari kwa matumizi ya viwandani. Yaani mwaka huu UTAJUTA kwanini ULIOLEWA mapema 😁😁
Hii imeshawekewa KIGONGEO KIPYA tayari kwa kwenda IRINGA kwenye KIWANDA cha IVORI. Eeh kule maeneo ya KALENGA kwa kina ADAM SAPI MKWAWA 😁
Hahaha we mtu mbishi
Ova
Hahahah
Hahahah
Hii picha imefanya mpaka nimepaliwa bia mzee
Ova