cc: Wachagga wote na wapare wafanyao biashara
Halafu hawa watu zile BIASHARA KUBWA huwa hawafanyi. Huwa wanafanya BIASHARA NDOGO NDOGO yaani zile BIASHARA ZA REJA REJA na ukikuta wanafanya BIASHARA KUBWA ujue wameshika BIASHARA za watu wengine.
Na SERIKALI huwa inawatumia hawa watu wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO kwenye kufanya BIASHARA ZA SERIKALI.
Ndio maana wenyeji wa hii mikoa huwa wanajiita ni WATEULE yaani SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ ilipendekeza wenyeji wa hii mikoa miwili kuwa ni wafanyakazi wao katika BIASHARA ZA SERIKALI.
Na hata HAYATI MAGUFULI alipoingia madarakani, kitu cha kwanza alilalamika sana kuhusu huu mtindo wa SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ kuwatumia wenyeji wa hii mikoa miwili ya ARUSHA na KILIMANJARO kwenye kufanya BIASHARA ZA SERIKALI na alipendekeza huo mtindo wa SERIKALI ufanywe kwa wenyeji wa mikoa yote inayopatikana TANZANIA πΉπΏ.
Lakini hawa wenyeji wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa wameshafahamu tangu siku nyingi na ndio maana na wao waliamua kuwatumia wale wale wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO kwenye kufanya BIASHARA zao tangu kipindi cha uhujumu uchumi.
Lakini kwa kadri muda na nyakati zinavyobadilika hawa wenyeji wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanachukua makampuni yao ikiwemo HOTELI ZA KITALII kutoka kwa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na hata kwa watu wengine wenye asili ya KIARABU, KIHINDI na KIZUNGU.
Na hapo ndio utaona kuwa hawa wenyeji wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndio walioshika UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ tofauti na SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ.