Bilionea Msuya angetumia akili ya Hakimi wa PSG kwenye ndoa yake. Dada yake asingeuliwa na Mke wake, ukoo wa mke kusimamia mali zake wasingeweza

Bilionea Msuya angetumia akili ya Hakimi wa PSG kwenye ndoa yake. Dada yake asingeuliwa na Mke wake, ukoo wa mke kusimamia mali zake wasingeweza

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi.

Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha.

Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake bilionea msuya achinjwe kama kuku na wifi yake.

Pia mali za bilionea msuya zimesababisha ugomvi mkubwa baada ya kaka wa mke kusimamia mali za bilionea msuya

Nikawaza akili ya Hakimi angekuwa nayo bilionea Msuya. Amani ingetawala familia yake
 
Back
Top Bottom