TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

PUMZIKA SABODO ila uliniudhi ulipo USALITI UPINZANI
 
R.I.P SABODO
 
Bilionea Mustafa Sabodo amefariki lkn maumivu yamebakia kwa wengine.

Alikuwa ni bilionea mwenye huruma Kwa jamii ya watanzania.

Alijenga mashule na alikuwa pia ni muumini wa siasa zenye usawa na mpenda haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…