John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwani alishawahi kufa lini??Huyu mzee anakufa mara ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alishawahi kufa lini??Huyu mzee anakufa mara ngapi
Mzew wa Dar free market kaumaliza mwendoWengine hatumfahamu.
Apumzike Kwa amani
Hii ndio Sadaka endelevu sasaM.A.P Mustafa Sabodo.
Umetoa mil 100 mia sana kuchimba visima.
🙏🙏Apumzike kwa amani.
Tajiri aliwahi kugawa pesa kwa vyama vya siasa Chadema na CCM.Wengine hatumfahamu.
Apumzike Kwa amani
Pia nakumbuka alikuwa ni mmojawapo aliyeweza kujenga shule za secondary hapa nchini ili kuongeza kiwango cha Elimu.Apumzike kwa Amani tutamkumbuka kwa mengi lakini mojawapo ni kauli yake aliahidi endapo Serikali itahamia Dodoma kwa asilimia 100 basi atafanya uwekezaji mkubwa katika mji huo
Aliwapaga hela za kujenga visima ,chadema bila aibu wakafisadi michango ya huyu mzee RIP SabodoBilionea Mustafa Sabodo amefariki lkn maumivu yamebakia kwa wengine.
Alikuwa ni bilionea mwenye huruma Kwa jamii ya watanzania.
Alijenga mashule na alikuwa pia ni muumini wa siasa zenye usawa na mpenda haki.
Alidhani ni Chama kumbe Duka la mwambaAliwapaga hela za kujenga visima ,chadema bila aibu wakafisadi michango ya huyu mzee RIP Sabodo
CDM wakipewa nchi watafisadi kila kitu.Aliwapaga hela za kujenga visima ,chadema bila aibu wakafisadi michango ya huyu mzee RIP Sabodo
Dar free market si ya yule jamaa wa imalaseko auMzew wa Dar free market kaumaliza mwendo