TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

Pale Lindi Sekondari tumetumia sana maji ya Bomba na tulikuwa tunayaita ya Sabodo maana tuliambiwa aliyefanikisha yafike shuleni aliitwa Sabodo.

Mpaka namaliza form 6 pale 2016 sikuwahi kumfahamu kabisa Sabodo hata kidogo.

Yale maji yalikuwa na chumvi sana, ukiyaoga lazima utumie Omo ili kuepuka kubaki na mapovu kwenye nywele. Pia bila kufulia Omo au gwanji ilikuwa hupati povu lakini yalikuwa na msaada mkubwa sana kwetu.

Apumzike kwa Amani huyu mwamba. Matendo yake mema yamegusa maisha yangu pia japo sikumfahamu kabisa.
 
Ni Sunni ama Shia?

adriz Accumen Mo
 
Ukifika uchaguzi ndani ya chama basi nenda kachukue form ya uenyekiti taifa afu uje utupe mrejesho
 
Nilidhani alishafariki. Mungu amrehemu.
 
Inna lillah waina illah raajiun

hivi ule mpango wake wa kuipa serikali shilingi tr 5 kwa ajili ya kuendeleza mji mkuu Dodoma uliishia wapi?
 
Hakuna mtu ni kada wa chama chochote, wote wapo kimaslahi tu
 
Pale Lindi Sekondari tumetumia sana maji ya Bomba na tulikuwa tunayaita ya Sabodo maana tuliambiwa aliyefanikisha yafike shuleni aliitwa Sabodo...
Dogo sisi tulikomaaa tulikuwa tunaoga kibishi na sabuni za kawaida...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..Nakusalimu Kutoka Texas Hapa kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…