Bilionea mwingine afariki kwenye ajali ya ndege Marekani

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi.

48966217-10075933-image-a-41_1633806504816.jpg

Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa.

48966571-10075933-image-a-43_1633806529437.jpg

The plane 'was taking off, went straight up, and it took a hard right and hit the ground,' mashuhuda walielezea.

The plane then flipped and burst into flames. Shuhuda mwengine akielezea.

Watu wote wanne waliokuwemo ndani ya ndege walifariki.

Miongoni wa waliofariki ni billionea muanzilishi na mwana bodi wa JD Rosen Jonathan D. Rosen.

48969393-10075933-Jonathan_D_Rosen_was_reportedly_one_of_the_four_victims_who_died-m-61_163381...jpg

Foundation ya JD Rosen imesikitishwa na kumueleze Rosen 'a self-made entrepreneur. A forward-thinking visionary. An empowering wealth-builder.'

Rosen alikuwa pia CEO of Entaire Global Companies, a financial services holding company, and active in the Gwinnett County Chamber of Commerce.

Ajali iyo ya ndege inachunguzwa na the National Transportation Safety Board.

48966573-10075933-image-a-45_1633806717124.jpg

Mungu alaze roho za hawa wahanga mahali pema peponi
 
Bwana alitoa,bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Ndo hivyo mkuu ni huzuni kuondokewa na billionaire mwenzetu. Yani sisi mabilionare tukiingia kwenye ndege zetu binafsi roho juu juu. Juzi kati nilikuwa napeleka fungu dogo tu la hela off Shore tax haven Panama kama dollars za Marekani million 20 hivi na private jet yangu Gulfstream.

Katikati angani kulikuwa na tarbulance ya hatarii nikajisemea tu au Israel nini anataka kutupeleka zayuni. Ila jopo la flight attendants walinifariji.

Tulivyotua tu Panama baada ya kudeposit ikabidi twende tena British virgin islands na jersey island matax haven zingine. Dah nikagoma ikabidi nimpatie tu msaidizi wangu makumi ya mamilion ya dollars mengine anipelekee na Gulfstream yangu.

Ikabidi nitulie Panama 5 star hotel 10,000 $ a night kesho yake nikachukua passenger flight kurudi Geneva uswisi
 
Mgalatia naona Matajiri mnazidi kupungua, ahsante kwa taarifa kaka.

Hizi ndege za engine moja noma sana. Ila siku ikifika imefika tu. Utashangaa umelala unaota mtu kakunyonga unafia ndotoni.
 
Na am mgerasi the Monk himself. Hapo ndo Mungu ni wa ajabu ikija kwenye nafsi hamna cha tajiri maskini wala nani. Ndo maana inabidi tu jifunze kutokuwa na kiburi na madharau.

There are some people outside there who thinks the world revolves around them and they breathe flavored oxygen.

Hata zikiwa na engine nne siku ikifika imefika. Ila usafiri wa anga inatisha.

Je bado Unazidi kuniombeaga ile ndoto yangu ya kuwa billionaire?
 
Nakuombea sana kaka, ndio maana nimewapa pole matajiri kuondokewa na mwenzenu. Kiimani najua tayari wewe ni billionaire
 
Ndo hivyo mkuu ni huzuni kuondokewa na billionaire mwenzetu. Yani sisi mabilionare tukiingia kwenye ndege zetu binafsi roho juu juu. Juzi kati nilikuwa napeleka fungu dogo tu la hela off Shore tax haven Panama kama dollars za Marekani million 20 hivi na private jet yangu Gulfstream.

Katikati angani kulikuwa na tarbulance ya hatarii nikajisemea tu au Israel nini anataka kutupeleka zayuni. Ila jopo la flight attendants walinifariji.

Tulivyotua tu Panama baada ya kudeposit ikabidi twende tena British virgin islands na jersey island matax haven zingine. Dah nikagoma ikabidi nimpatie tu msaidizi wangu makumi ya mamilion ya dollars mengine anipelekee na Gulfstream yangu.

Ikabidi nitulie Panama 5 star hotel 10,000 $ per night kesho yake nikachukua passenger plane kurudi Geneva uswisi
Gud
giphy.gif
 
Mzuka wanajamvi!

Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi.

View attachment 1970548

Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa.

View attachment 1970549

The plane 'was taking off, went straight up, and it took a hard right and hit the ground,' mashuhuda walielezea.

The plane then flipped and burst into flames. Shuhuda mwengine akielezea.

Watu wote wanne waliokuwemo ndani ya ndege walifariki.

Miongoni wa waliofariki ni billionea muanzilishi na mwana bodi wa JD Rosen Jonathan D. Rosen.

View attachment 1970550

Foundation ya JD Rosen imesikitishwa na kumueleze Rosen 'a self-made entrepreneur. A forward-thinking visionary. An empowering wealth-builder.'

Rosen alikuwa pia CEO of Entaire Global Companies, a financial services holding company, and active in the Gwinnett County Chamber of Commerce.

Ajali iyo ya ndege inachunguzwa na the National Transportation Safety Board.

View attachment 1970552

Mungu alaze roho za hawa wahanga mahali pema peponi
Marekani ndo nchi pekee Duniani yenye mabilionea wengi kupindukia, inadaiwa kuna mabilionea milioni 6 wasio na majina,hao ndo wamemeza maskini wote,ukiwa kwenye ardhi ya Marekani kila mtu huonekana ni Tajiri, huwezi kutofautisha kati ya maskini na Tajiri ukiwa Marekani, hiyo ni kwa sababu,kila mtu yaani 90 % ya watu wa Taifa hilo wana nyumba Bora,huvaa vizuri,wana magari,na wamenawawili
 
Back
Top Bottom