Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.

Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

"Maendeleo hayana chama".

255712756338_status_60f6d7cb1d2149a490cb421c1a91081b.jpeg

Wimbo wa Sholomwamba akimnadi Nabii Shilla ubunge Kilombero

Akimuonya Lijualikali na Gwajima

Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).

Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.

Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:

Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.

Bahati mbaya huwezi kukumbatia pesa halafu ukabaki na Yesu, hawa watu wanaonesha jinsi walivyo watafutaji, nawasikitikia sana hao waumini wao, naona msimu wa fursa kwao umewadia.
 
Salary Slip,

Sasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli, makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Dah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."
 
Ili kuwa kabla tabia yake ya kula kondoo haijajulikana
 
Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha sana na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni itakuwa ni shida.

Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.

Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:

Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo hyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA, na kasema yeye hana njaa.

Dogo kichwa kimesimama aisee.
 
Back
Top Bottom