Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
HahahaSasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli .....makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Dah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."Salary Slip,
Sasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli, makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Gwajima, kauli na matendo yake ndio vimemuhukumu.Salary Slip,
Sasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli, makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Ili kuwa kabla tabia yake ya kula kondoo haijajulikanaDah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."
Dogo kichwa kimesimama aisee.Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha sana na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni itakuwa ni shida.
Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.
Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:
Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo hyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA, na kasema yeye hana njaa.
Kwani ubunge unalipa kuliko kazi wanayoifanya ya utumishi...?Bahati mbaya huwezi kukumbatia pesa halafu ukabaki na Yesu, hawa watu wanaonesha jinsi walivyo watafutaji, nawasikitikia hao waumini wao.
Chichiem😂😂😂😂Lijuakali atagombea kupitia chama gani?TLP?
Kama unaridhika na one source of income inaonekana wewe bado mtoto.Kwani ubunge unalipa kuliko kazi wanayoifanya ya utumishi...?