Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa.

Maneno hayo alitamka kwenye interview Mpya na kuweka wazi kuwa yeye akitaka kuoa ni lazima mwanamke husika awe bikra bila hivyo Haoi. Pia alisisitiza wake zake wote 6 alionao sasa akiwemo Muigizaji maarufu Regina Daniels (23) aliwaoa wakiwa bado bikra.

Wake wake woke Sita aliooa bado anaishi nao hadi sasa kila maja akiwa na kwake huku kati Yao wengine wakiwa wasomi wa vyuo vikuu.
Ananyotayamabikiraa
 
Vitu vingine msiumize kichwa sana. Ushaambiwa ni TAJIRI,, na haoi mwanamke ambaye si BIKRA..na ana wake 6. Na bado anazihitaji hizo BIKRA. Source of WEALTH. Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom