Bilionea wa Nigeria amezikwa na gari mpya BMW lenye dhamani ya shilingi milion 800 mwaka 2018

Wanaina wana mbwembwe... Sema waarab kwenye mazishi hawana mnwembwe niliona kaburi la yule sijui alikuwa mfalme wa jordan alifariki mwaka jana sijui juzi yani kipande cha ardhi tu kama kawaida no mbwembwe wala kujengewa
Ukweli ni kwamba hakuna maisha baada ya haya ila ishi vizuri [emoji846] wao wanajuwa
 
Ni bilionea mwenyewe au baba yake?? Msipende kutulisha matango pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…