Yes mkuu huyo huyo.Mfalme wa Kuwait.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mkuu huyo huyo.Mfalme wa Kuwait.
Lakin kwarejeo wa picha iyo bm sio ya milioni 800Umezoea BMW za bongo za milioni 22 jaribu kuangalia bei za BMW mpya za kisasa halafu ndio uje ukomenti
Ukweli ni kwamba hakuna maisha baada ya haya ila ishi vizuri [emoji846] wao wanajuwaWanaina wana mbwembwe... Sema waarab kwenye mazishi hawana mnwembwe niliona kaburi la yule sijui alikuwa mfalme wa jordan alifariki mwaka jana sijui juzi yani kipande cha ardhi tu kama kawaida no mbwembwe wala kujengewa
Nsaidie konekshen pm mkubwaKubali masharti ya pesa za ndumba upate magari kibao,nigeria uko ndio kwenyewe sasa
Toroli dogo dogo tuu, hua nakusanyia chuma chakavu 😎😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬, Inabidi ukifa ukatwe vipande Vipande, au toroli lina ukubwa gani. 🤔🤔
Hilo jeneza limechongwa tu km BMW hiyo.Hamna bmw ya milioni 800
Ni bilionea mwenyewe au baba yake?? Msipende kutulisha matango poriBilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
===
A Nigerian man has recently buried his father in a brand new BMW, instead of a coffin, according to various reports.
Man named Azubuike is a resident of a remote village in Mbosi, Nigeria. In a photo which has been trending on social media for the last two days, pallbearers are seen lowering the luxury car into a huge grave.
The grave, which was around 6 feet deep, was reportedly dug by the locals to help the grieving son.
Zipo au unataka tukuoneshe??Hamna bmw ya milioni 800