Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo Kata ya Ulewe ushetu.
Aidha, Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani ametoa shukurani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fedha za miradi kwa Wana Ushetu.
#TunasimamaNaMama
#UshetuInajengeka