Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Duh, nilijua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinaingiliana sana! kwa maeneo machache tuu ni hivi:Kwa hiyo kupotea bilion na uchaguzi wa mbowe vinaingiliana vipi hapo
Wameshindwa hats kujenga ofisi, hata kuhamasisha wananchi ili wawachangie wajenge.kwa kweli Ni shida...Kweli Tanzania kuna upinzani au nao ndo waizi tu??
hakuna upinzani ni wezi tuKweli Tanzania kuna upinzani au nao ndo waizi tu??
Na ndo maana wabunge wa upinzani wakipata fungu kubwa toka CCM wengi huunga juhudi ili kushibisha tumbo.wapinzani wajipange vinginevyo wananchi watawaona sawa tu Na CCM majizi tu.Wanasiasa wote wa nchi hii ni wezi na majambazi.
Wote si CCM wala Chadema yote ni majizi na majambazi.
Kwenye halmashauri Sasa hivi Kuna ufisadi wa kutisha.
Viongozi wa Chadema nao wanagawana pesa tu.
Kwa kweli Ni shida.nyie mnaounga mkono mavyama mna moyo, juzi nape kagundulika kukwapua cruza la chama, ukimuangalia harakaharaka utasema mtetezi lakini dah kumbe jizi.haya mavyama yamejaza matapeli wanaoiba kisomi.hakuna upinzani ni wezi tu
Mmawia MWALLA Salary Slip Return Of Undertaker Chakaza chuma cha mjerumani
n.k.
Eti imekuwaje? Unajua hiki ni chama kinachosimamia yale mengi munapenda nyie wadau wa humu..
Nyie zile tilioni 2.4 zako wapi?kama ni kweli , hiyo bil 1.9 iliyopotea CHADEMA wangekuwa wana dola ingepotea tril 1.9
ni upumbavu kufikiria hivyoNyie zile tilioni 2.4 zako wapi?
Uchaguzi umekaribia,kwahiyo propaganda kama hizi ni wakati wakeMmawia MWALLA Salary Slip Return Of Undertaker Chakaza chuma cha mjerumani
n.k.
Eti imekuwaje? Unajua hiki ni chama kinachosimamia yale mengi munapenda nyie wadau wa humu..
Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni.
Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita.
Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu ya ukwapuliwaji wa hizo fedha, John Mrema amejenga hoja dhaifu kuwahi kutokea, kwa kusema kuwa chama kinachafuliwa kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu. Hii ni hoja dhaifu kweli kweli
Ipo hivi, Kwa kawaida wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchangia 1, 560, 000 kwa mwezi,
Na wabunge wa majimbo huchangia 520, 000 kila mwezi
Katibu mkuu Dr. Vincent Mashinji, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Mweka hazina ndio waweka sahihi kwenye hiyo account. (signatories)
Ni takribani ya miezi 5 sasa wabunge hawaendelei kuchanga fedha hizo (wamegoma) baada ya kubaini kuwa fedha hizo zimekwapuliwa na kupelekwa kusiko julikana
Kama mimi muongo aje mbunge yeyote aseme yeye kama ndani ya hii miezi 5 amechanga zile fedha za wabunge zilizokuwa zinachangwa kila mwezi. Na kama haziendelei kuchangwa kuna nini nyuma ya pazia?
Jiulizeni kwa nini wabunge sasa hawachangi fedha hizo?.... Why hawachangi?... Kuna nini nyuma ya pazia?... Aje mbunge hata mmoja aliyechangia mwezi huu au mwezi uliopita.
Jana Mayor wa ubungo kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter badala ya kujenga hoja, anapiga picha magari ya chama, na kudai hakuna fedha zilizo kwapuliwa, anataka kusema kuwa fedha za michango ya wabunge ile imetumika kununua magari?
Fedha za Ruzuku zilifanya nini? .... Leteni ushahidi kwa nini hawaendelee kuchanga fedha kama ilivyo kuwa awali?
Jana Joseph Selasini akijibu hoja hiyo ameweza kukubali kuwa ni kweli Wabunge hawaendelei kuchanga kwa takribani ya mezi 5 kwa kile alicho kieleza kuwa spika amegoma kuwakata.
Mjiulize kwa nini Ndugai amegoma kuwakata?... Kama ameshindwa kuwakata na nyie mpo safi na hakuna upotevu wa hizo fedha za wabunge kutoka account ya ECO Bank, mmeshindwa kuitisha kikao kutafuta njia mbadala ya wabunge kuendelea kuchanga?...Why mnakwepa vikao?
Nimalize kwa kusema, Hao wanaotetea kwamba Fedha zimetumika kununua magari au pikipiki. Je wanajua wanachokifanya? Hawaoni kama wanazidi kukichafua chama?
Haya wabunge njooni sasa, uwanja ni wenu, semeni ni lini mmechanga hizo fedha?
Yani CHADEMA ya sasa haina maana kabisa muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwa mujibu wa kalenda ya Chama umeshapita na Mbowe hataki kabisa kuitisha uchaguzi labda kwa sababu anahofia madudu yake kubainika.
kama ni kweli , hiyo bil 1.9 iliyopotea CHADEMA wangekuwa wana dola ingepotea tril 1.9
Ripoti Ya CAG ni fikra?ni upumbavu kufikiria hivyo
Sawa waulize, lakini haihalalishi wizi upande mwingine wa shilingi.Nyie zile tilioni 2.4 zako wapi?
Usimeze uongo huo bila ushahidi.WALE TULIOWATEGEMEA WAWE WATETEZI WETU NDO WANAGEUKA KUWA WABAYA ZAIDI?!!!
Kwa hyo yote yatakayoandikwa Na upinzani kuwahusu ccm kipindi hiki tuchukulie Ni propaganda za uchaguzi? Dawa Ni kutoa majibu mkuuUchaguzi umekaribia,kwahiyo propaganda kama hizi ni wakati wake
Globally/au kimataifa anayekubarika kutoa taarifa ya wizi wa fedha za tarsisi ni mtu mwenye weredi wa ukaguzi wa mahesabu si vinginevyo kuepuka majungi yanayoandaliwa kuwarubini watu