Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Wanasiasa wote wa nchi hii ni wezi na majambazi.
Wote si CCM wala Chadema yote ni majizi na majambazi.
Kwenye halmashauri Sasa hivi Kuna ufisadi wa kutisha.
Viongozi wa Chadema nao wanagawana pesa tu.
Na ndo maana wabunge wa upinzani wakipata fungu kubwa toka CCM wengi huunga juhudi ili kushibisha tumbo.wapinzani wajipange vinginevyo wananchi watawaona sawa tu Na CCM majizi tu.
 
hakuna upinzani ni wezi tu
Kwa kweli Ni shida.nyie mnaounga mkono mavyama mna moyo, juzi nape kagundulika kukwapua cruza la chama, ukimuangalia harakaharaka utasema mtetezi lakini dah kumbe jizi.haya mavyama yamejaza matapeli wanaoiba kisomi.
 
Bila kusahau na zile mlizo kwiba nyie maccm 2.4 trillion
 
Globally/au kimataifa anayekubarika kutoa taarifa ya wizi wa fedha za tarsisi ni mtu mwenye weredi wa ukaguzi wa mahesabu si vinginevyo kuepuka majungi yanayoandaliwa kuwarubini watu
 
WALE TULIOWATEGEMEA WAWE WATETEZI WETU NDO WANAGEUKA KUWA WABAYA ZAIDI?!!!
Usimeze uongo huo bila ushahidi.
Kwa akili yako timamu unadhani yangekuwa ya kweli hayo mi ccmdola ingenyamaza?
 
Akili kubwa hii. Buku 7 wamepewa kazi ya kulipigia debe hili pamoja na kuwa hawana ushahidi hata wa 1% kuthibitisha huu UZUSHI.

Globally/au kimataifa anayekubarika kutoa taarifa ya wizi wa fedha za tarsisi ni mtu mwenye weredi wa ukaguzi wa mahesabu si vinginevyo kuepuka majungi yanayoandaliwa kuwarubini watu
 
Wanajaribu kututoa kwenye reli. Hatutoki ng'o
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…