Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA

Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua.

Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani kiasi cha Shilingi Bilioni 11.6 mradi ambao uliombwa na Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi na kupitishwa na Wizara ya Ujenzi.

Wakazi wa Kata ya Usinge wanamshukuru Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi kwa kuwaombea barabara kuwekewa lami kutokana na kuwa na Idadi kubwa ya watu Wilayani Kaliua nyuma ya Kata ya Igwisi.
 

Attachments

  • Screenshot 2024-10-07 at 20-56-28 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-10-07 at 20-56-28 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    444.1 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-10-07 at 20-56-41 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-10-07 at 20-56-41 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    511.5 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-07 at 20-57-24 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-10-07 at 20-57-24 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    372.3 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-10-07 at 20-57-41 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-10-07 at 20-57-41 Kaliua PlusTz (@kaliuaplustz) • Instagram photos and videos.png
    484.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom