Bilioni 11 kununua taa tu?

Taa hizo ngapi, za lumens ngapi na moja ni sh ngapi?
 
Kwa Sasa kila project Ina percentage ya Hela ya uchaguzi Kuelekea chamani au vishoka kujiposition kuwa wametumwa Hela ya kusapoti uchanguzi na wakubwa, Kisha kunufaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…