Bilioni 11 kununua taa tu?

Bilioni 11 kununua taa tu?

Tuoneeni huruma jamani nchi masikini hii mtaimaliza
Tulia wewe, tulimuondoa mwendazake hili tupate nafasi ya kuitafuna nchi kadri tuwezavyo, halafu wewe unataka kutupigia kelele hapa, wewe umetumwa Nini?

Hebu kaa kimya huko usibiri kupiga kula wewe na wanyonge wenzio!

Na ukiona vipi hamia Zimbabwe au msumbiji.
 
Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
Tafuta kwanza ujue Ni Taa ngapi na Zenye Specs Ipi ila Mind you Taa zina Bei sana usidhani ni Bulb izo ulizoweka Apo Geto kwako
 
Daraja la jangwani tuliambiwa litakamilika mwaka jana

Mwendokas za mbagala tuliambiwa zitaanza kazi mwezi wa kumi na moja mwaka jana

Asante Mama samia
Uliambiwa na nani wakati mwaka Jana ndio mkataba ulisainiwa na ujenzi unaanza mwezi wa 2?

Punguza ujinga ndugu yangu
 
Back
Top Bottom