Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 425
Sikuhizi mbona yako poa tuWafanye jambo maji ya Arusha yasiharibu meno ya watu. Hapa natafuta pesa kusafisha meno yangu [emoji41]
Kwan uliambiwa maji hamna ? Yale maji ya ziwa umpelekee nani😁 ars sio dodoma ..maji hapo ni namna ya usambazajiHivi ni nini shida kuvuta maji kutoka Ziwa Victoria Mara kupitia Manyara hadi Arusha?
Kama yanapelekwa Dodoma inashindikana nini kupelekwa Kaskazini? , sina uhakika kama maji ya Ziwa Manyara na Babati,Natron ujazo wake yanatosha kusambazwa kwa matumizi makubwa zaidi ya watu wanaozunguka maeneo hayo.
Serikali haijawahi kuwaza katika hili au ni jambo la kitaalamu?
Nahoji tu.
Wewe huwa unashindwa kuleta Takwimu sahihi..Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika Jiji la Arusha limetumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza miradi ya maji ambayo itafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100%
Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023 JIji la Arusha litakuwa na maji 100%.
Acha utani bhanaSikuhizi mbona yako poa tu
Mwaka wa fedha 22/23 umeanza July 22. Wameisha kusanya fedha na kuhitimisha mradi?Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika Jiji la Arusha limetumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza miradi ya maji ambayo itafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100%
Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023 JIji la Arusha litakuwa na maji 100%.
Achana na wanasiasa ndugu yangu, hii Nchi Wananchi tukiendelelea na ngonjera za siasa tutaumia sana.Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika Jiji la Arusha limetumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza miradi ya maji ambayo itafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100%
Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023 JIji la Arusha litakuwa na maji 100%.