Bilioni 2 ni nyingi ila ndogo kwa Simba, Next time mfanye 5 kwenda mbele

Ndilo swali langu
 
Mtazamo wako ni finyu sana.
Haujaainisha kwa miaka ya nyuma Simba walikuwa wakiingiza kiasi gani kwa mauzo ya "MERCHANDISE" zake...
Mkuu, hatupaswi kufungwa na mtizamo wa nyuma ikiwa tunaizungumzia Simba iliyomaliza nafasi ya kwanza kwenye group lenye timu kama Al ahly na As Vita.

Simba imekuwa kubwa sana kuanzia kwenye matokeo hadi nje ya uwanja.

Twende kwenye hoja.

Simba hii ya sahizi inayoingia robo fainali unadhani katika kipindi cha miaka miwili itauza chini ya pisi za jezi milioni moja?

Hapo ni jezi tuu, sijazungumzia vitu kama bendera, Madera, vipeperushi, mipira n.k

Nikukumbushe tuu kila msimu klabu za mpira huja na jezi zenye muundo mpya kwaajili ya biashara, kwa hiyo ndani ya miaka miwili watauza jezi za aina mbili tofauti kwa wateja wale wale.

Suala la kuwa na wataalam w biashara sio hoja, Simba inaweza ikawa ina wataalam wa biashara wenye maslahi binafsi, maana kibiashara ni wazi Simb imepigwa
 
Kwani kuna ulazima wa kuandika THREAD kwa jambo ulijui?
 
Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo...
Yani jinsi ulivyopiga hayo mahesabu nakufananisha na mkulima wa matikiti kwenye mtandao....

Vunja Bei ataingia gharama za

1. Uzalishaji wa jezi
2. Usambazaji wa jezi
3. Kulipa wasambazaji
4. Kuwalipa simba bilioni 1 kwa mwaka yani 2 kwa miaka miwili...
5. Alipe kodi...

Baada ya hapo ndio anaanza kutafuta faida....

Kumbuka mkataba uliopita simba alikuwa anapata milioni 100 leo imefika bilioni 2 anakuja mtu anasema haitoshi bila hata kusubiri wajaribu hiyo risk....
 
Na huyu bwana hawezi uza jezi non stop for two years kuna kipindi zitamdodea tu.....
Naamini hivyo.

In fact nafikiri hiki kimuhe muhe cha kuiona timu inaperform kimesaidia hii deal kutokea.
 
Mtazamo wako ni finyu sana.
Haujaainisha kwa miaka ya nyuma Simba walikuwa wakiingiza kiasi gani kwa mauzo ya "MERCHANDISE" zake...
Hawa Simba wakishanyolewa club bingwa ndio kwisha habari yao nani atataka kununua jezi jekundu, hii business ina risk balaa is all about mood swing.
 
Yani jinsi ulivyopiga hayo mahesabu nakufananisha na mkulima wa matikiti kwenye mtandao....

Vunja Bei ataingia gharama za...
Ndio maana nimeanza kwa kuwapongeza.

Mind you halafu hesabu za hapa nimeweka elfu 10 kinyume na uhalisia wa bei ambazo zitakuja kuuzwa
 
Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo.

Twende kwenye facts sasa....
Kwa kuanzia sio mbaya, ukitegemea miaka ya nyuma simba alikuwa anapata 100M, after hiyo miaka miwili nategemea deal litakalosainiwa litakuwa kubwa zaidi ya hili la 2B
 
VB kajua kucheza na akili za mchezo na atapiga faida sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…