Bilioni 2 ni nyingi ila ndogo kwa Simba, Next time mfanye 5 kwenda mbele

Unaweza kuta vunja bei kaungana na wachina kutoa hizo 2Bilion, maana wanatumia nembo kila wanacho taka kuuza sio jessy tuuu.

Msikariri jmn sio lazima jessy tu wamesema hadi kila bidhaa yao wanayo taka kuuza wanatumia nembo hata wakileta tv wanandika simba sport club
 
Mkuu VB wameingia Mkataba na Simba Sports Club Company Limited na Sio Simba Sports Club [emoji120][emoji120][emoji120]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vizuri kumbe ni vitu viwili tofauti ?
 
Huyu walisema kapata deal ya bil.8.5 ila akaishia uDC
Kwa hiyo ukaelewa kapewa 8.5 billioni na kuwekewa ktk akaunti yake??huo ni mkataba uliokadiriwa kuwa na thamani ya kiasi hicho.Mfano Mimi na wewe tunaweza tukakubaliana kusaini mkataba ambao Mimi nazalisha mafuta ya kupakaa yanaitwa Migugo ambayo kutokana na umaarufu ulionao huko kwenu gongo la mboto naamini utauza chupa kama 1,000 huko kwenu kwa Mwaka na Kila chupa ni tshs 1000 hivyo tunasaini mkataba wenye thamani ya tshs 1,000,000 hapo Fahamu sikupi wewe Migugo hizo hela.Tutafanya biashara na kugawana faida kwa kadri tulivyozalisha na kuuza, ikitokea tukauza chupa 10 tu utapata hela kiasi cha kutoka chupa kumi na utaendelea kuwa Migugo tunayemfahamu.Umeelewa sasa??nimetumia nguvu nyingi kukuelewesha
 
"Mr.Mueleweshaji" mkataba wa bil.8.5 ina maana angeweza kuingiza hela fedha nyingi kuliko uDC ambao mshahara kwa mwaka sidhani kama unafika mil.300.

Wakati mwingine mikataba inayotangazwa pia ni ya uongo si kwa amount wanayoquote to the public.

Halafu maswali yako ya "umeelewa?" usidhani humu kuna tabulalasa.

Tunacomment kuchallenge tu wengine.
 
We unadhani kuuza pisi laki mbili za jezi ni kama kutupa tu,angalia changamoto zilizopo kwenye soko la jezi kibongobongo,yaani jamaa kajilipua sana kwa huo mkwanja,atapambana na vitu vingi sana kwenye hiyo biashara,kumbuka inabidi apambane na maharamia pia,si jambo dogo..
 
Kwaio kama hizo changamoto zipo, nani angefaa zaidi ambaye asingepata hizo changamoto, kuna mfanyabiashara wa uhakika anayekimbia changamoto? Mwanaume anajilipua na bilioni 2, jiulize wewe unajilipua na shilingi ngapi kwenye maisha haya
Uwe unaelewa post kabla ya ku-reply MTU,nilikuwa najaribu kumuelewesha huyo mtoa mada anayedai kuwa billion 2 ni ndogo kwa huo mkataba,sijabeza jitihada za Fred..mi naona ni fair tu tena jamaa kajitahidi sana

Watu wengine sijui mpoje aiseee
 
Back
Top Bottom