Mkuu VB wameingia Mkataba na Simba Sports Club Company Limited na Sio Simba Sports Club [emoji120][emoji120][emoji120]Unaweza kuta vunja bei kaungana na wachina kutoa hizo 2Bilion, maana wanatumia nembo kila wanacho taka kuuza sio jessy tuuu.
Msikariri jmn sio lazima jessy tu wamesema hadi kila bidhaa yao wanayo taka kuuza wanatumia nembo hata wakileta tv wanandika simba sport club
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vizuri kumbe ni vitu viwili tofauti ?Mkuu VB wameingia Mkataba na Simba Sports Club Company Limited na Sio Simba Sports Club [emoji120][emoji120][emoji120]
Kaidhamini weweKwa masilahi mapana ya club yetu simba imepigwa
Kwa Hyo Hzo Ni Taasisi Sawa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vizuri kumbe ni vitu viwili tofauti ?
Kwa hiyo ukaelewa kapewa 8.5 billioni na kuwekewa ktk akaunti yake??huo ni mkataba uliokadiriwa kuwa na thamani ya kiasi hicho.Mfano Mimi na wewe tunaweza tukakubaliana kusaini mkataba ambao Mimi nazalisha mafuta ya kupakaa yanaitwa Migugo ambayo kutokana na umaarufu ulionao huko kwenu gongo la mboto naamini utauza chupa kama 1,000 huko kwenu kwa Mwaka na Kila chupa ni tshs 1000 hivyo tunasaini mkataba wenye thamani ya tshs 1,000,000 hapo Fahamu sikupi wewe Migugo hizo hela.Tutafanya biashara na kugawana faida kwa kadri tulivyozalisha na kuuza, ikitokea tukauza chupa 10 tu utapata hela kiasi cha kutoka chupa kumi na utaendelea kuwa Migugo tunayemfahamu.Umeelewa sasa??nimetumia nguvu nyingi kukueleweshaHii ya leo itakuwa ni stori namba 1 kuhusu Jokate mwaka 2014 - Millard Ayo
Mrembo Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti. Makubaliano hayo yamesainiwa Dec 19 kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa...millardayo.com
Huyu walisema kapata deal ya bil.8.5 ila akaishia uDC
"Mr.Mueleweshaji" mkataba wa bil.8.5 ina maana angeweza kuingiza hela fedha nyingi kuliko uDC ambao mshahara kwa mwaka sidhani kama unafika mil.300.Kwa hiyo ukaelewa kapewa 8.5 billioni na kuwekewa ktk akaunti yake??huo ni mkataba uliokadiriwa kuwa na thamani ya kiasi hicho.Mfano Mimi na wewe tunaweza tukakubaliana kusaini mkataba ambao Mimi nazalisha mafuta ya kupakaa yanaitwa Migugo ambayo kutokana na umaarufu ulionao huko kwenu gongo la mboto naamini utauza chupa kama 1,000 huko kwenu kwa Mwaka na Kila chupa ni tshs 1000 hivyo tunasaini mkataba wenye thamani ya tshs 1,000,000 hapo Fahamu sikupi wewe Migugo hizo hela.Tutafanya biashara na kugawana faida kwa kadri tulivyozalisha na kuuza, ikitokea tukauza chupa 10 tu utapata hela kiasi cha kutoka chupa kumi na utaendelea kuwa Migugo tunayemfahamu.Umeelewa sasa??nimetumia nguvu nyingi kukuelewesha
nauza pu**mb zako!
Uwe unaelewa post kabla ya ku-reply MTU,nilikuwa najaribu kumuelewesha huyo mtoa mada anayedai kuwa billion 2 ni ndogo kwa huo mkataba,sijabeza jitihada za Fred..mi naona ni fair tu tena jamaa kajitahidi sanaKwaio kama hizo changamoto zipo, nani angefaa zaidi ambaye asingepata hizo changamoto, kuna mfanyabiashara wa uhakika anayekimbia changamoto? Mwanaume anajilipua na bilioni 2, jiulize wewe unajilipua na shilingi ngapi kwenye maisha haya