Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
🤣 tunaomba vigezo ili ku qualify kwenye malipo, nataka nikaswage tembo selous waje shambani kwangu KisakituSerikali imesema imetenga shilingi bilioni mbili katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kifuta jasho kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama pori.
Mimi naona kama walitakiwa wafanye the opposite. Badala ya kutenga fedha hizo kuja kufidia watu watakaouliwa na tembo, wangezitumia katika kuimarisha mkakati wa kuhakikisha kuwa wanyama pori hawasogelei kabisa makazi ya binadamu milele.Serikali imesema imetenga shilingi bilioni mbili katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kifuta jasho kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama pori.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja amesema hayo bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Namtumbo Mhe.Vita Kawawa aliyetaka kujua mikakati ya serikali katika kufidia wananchi wanaoshambuliwa na wanyama pori ikiwemo Tembo.
Mhe. Masanja amesema serikali itatoa fidia kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama kulingana na uharibifu utakaojitokeza.
Chanzo: ITV
Hili wazo nimeliwaza kabla ila panya hawajeruhi ama kuua kama wanyama wengineKama panya nao ni wanyama basi wakawasaidie wanaishi wa Temeke. Kule kuna panya balaa.