Me nashangaa sana wabongo,kwa mujibu wa gazeti la nipashe la jana mikoa minne ya kusini imeingiza zaidi TRLIONI MOJA baada ya mauzo ya korosho,na muvu ya kibiashara haikuwa kubwa sana ki hivyo,sasa BILIONI 200 kwa nchi nzima,tena zinalipwa kidogokidogo mpaka ziakikiwe tena,nafikiri uchumi utachangamka kidogo sana!