Bilioni 200 zimekuja wakati muafaka kupaisha uchumi.

Bilioni 200 zimekuja wakati muafaka kupaisha uchumi.

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Hi great thinkers Jana katika mitandao mbalimbali nchini kuligubikwa na taarifa za JPM kulipa bilioni 200 Kwa wadai wa ndani.

Napongeza hatua hii kwakuwa mvua zimeanza kunyesha sehemu nyingi nchini.Watakao lipwa naamini hawatafanya kosa katika kilimo na kukuza shughuli zao tofauti.

Hongereni mnaonuia kuzitumia vizuri hizo pesa mtakazolipwa ili mzunguko wa fedha urudi bata ziendelee
 
Du watu bwana...
Hawa wamefanya kazi...wengine wana madeni kibao kutokana na kulaliwa fedha zao.
Watalipa mabenki
Na dawa ya deni kukopa ni kulipa.....hamna kitu hapo.... hio mara ya 3 zina ahidiwa hazitoki
 
Me nashangaa sana wabongo,kwa mujibu wa gazeti la nipashe la jana mikoa minne ya kusini imeingiza zaidi TRLIONI MOJA baada ya mauzo ya korosho,na muvu ya kibiashara haikuwa kubwa sana ki hivyo,sasa BILIONI 200 kwa nchi nzima,tena zinalipwa kidogokidogo mpaka ziakikiwe tena,nafikiri uchumi utachangamka kidogo sana!
 
Sio kiivo...pesa ndogo sana hiyo hasa kwa wakati huu
 
Kiuchumi bil 200 ni pesa ya kuendeshea shirika la umma kwa miezi sita hivi..
 
bilioni 200 watoto wadogo akina Mohamed Dewji wanazo na uchumi umedumaa...pesa ya mboga hiyo Rugemalira alizigawa hizo kama pipi na bado uchumi haukukua
 
Sio kiivo...pesa ndogo sana hiyo hasa kwa wakati huu
Pesa hizo ni kwa mmoja mmoja
Au vikundi vilivokua vinadai ndo vyenye kunufaika sio kwa ujumla wake eti nchi mzima
 
Back
Top Bottom